CCM/Chadema tofauti za kiitikadi ni majukwani, misibani kitu kimoja

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
SAM_2537.JPG
SAM_2552.JPG
 
Mkuu unataka hata kwenye misiba wasishirikiane?je wasingehukwepo msimbani ungekuja na hoja ipi
 
Mkuu unataka hata kwenye misiba wasishirikiane?je wasingehukwepo msimbani ungekuja na hoja ipi

Ni jambo ambalo linaonyesha mfumo wa tofauti za kiitikadi nchini unazidi kukomaa, kwani mambo ya majukwani yanaishia huko na tukisha kuwa katika tuko lingine tofauti za kiitikadi zinawekwa kando na kuwa familia moja kadiri ya mila na destuzi za utamaduni wa kiafrika.
 
...jamani mbona braza wangu Mkulo sijamuona? Mzee wa Zitto Muongo!!! hahahah, chezea Zitto veve!!
 
Vema sana kushirikiana namna hii,siasa c uadui

Yes it is. Tofauti za kiitikani ni mbinu na njia tofauti za kuupanda mlima, lakini sote lengo ni kufika kileleni kwa njia tofauti. Wengine wanakwepa mawe, wengine mteremko mkali, wengine misitu nk. lakini zote zinanamwelekeo wa kufika huko huko tunakotazamia kukutana.
 
Hiyo ndio breaking nyuuuuzi?alafu kwa ufikili wako unataka wachukiane hadi ktk udhni?think before act mkubwa wewe sasa sio unakurupuka tu!
 
..hivi ktk uhai wake walikuwa wakimthamini Bob Makani?

..isije kuwa wanatokea kwenye misiba kwa maslahi yao ya kisiasa, wazungu wanaita "photo-op."

..binafsi I am more concerned na habari za wanafamilia wa Bob Makani, and how they r coping.
 
Hiyo huwezi kuita breking news. wewe ulitaka watu wasome tu hukua na jipya.kushikiana kwenye misiba kwa Tanzania ni jambo la kawaida kabisa.kidoogo zamani Zanzibar lakini kwa sasa wamejirekebisha.
 
Back
Top Bottom