CCM, CHADEMA mfano wa kuigwa

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,552
Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa chama kitaifa njia pekee ya kuondoka kwenye uwenyekiti kitaifa ni mpaka hapo Mwenyezi mungu atakapoamua na si vinginevyo,hii ni aibu si tu kwa taifa letu bali pia ni ubakaji mkubwa wa demokrasia yetu changa
 
Mhhh wewe ndo unajiita "great thinker"!!! Aibu kubwa sana, ni bora kama hujui uulize, huenda umeanza kuijuwa CUF 2010! Lakini bni vyema uulize, ili uwe mjinga, kuliko kuripoka unaishia kuonyesha upumbavu wako hadharani!

CUF kimeshabadilisha wenyeviti na makatibu wakuu mara mbili (sio kwa kupeana mtu na mkwewe)! Mwenyekiti wa kwanza alikuwa James Mapalala, katibu mkuu akiwa ni Shaban Mloo (Kuchi), baadae Kaja Prof Lipumba na katibu wake Maalim Seif Sharif, kwa kura za wajumbe sio kupeana! Huwezi kufananisha na CHADEMA, uongozi wa kupena mtu na mkwewe!

Usirushe mawe nje, wakati umo kwenye nyumba ya vioo, utaadhirika!
 
Mapalala kulikuwa ni mapinduzi hamkuwahi kupiga kura tangu maalimu aukwae ukatibu na Pumba kuwa mwenyekiti ndio imekua basi tena hadi hapi mwenyezi mungu atakapowatoa na si vinginevyo,na Lipumba alishasema hatakaa aache kugombea urais wa nchi hadi hapo atakapozewka kama mzee mugabe hivyo wana cuf Pumba ataendelea kuwa mwenyeketi kwa takribani miaka ishirini ijayo
 
Bablii mimi sio cdm na wala haitaka itokee ila kama wewe ni kajana na uko cuf umepotea kwa vile cuf hawajui wanachosimamia kama chama. Sidhani kama Pumba alishawahi kufanya mkutano wowote wa hadhara nje ya dar,zanzibar na mtwara
 
"Mimi sio CHADEMA" Mipovu ya mdomo inakutoka! Alokuuliza we CHADEMA nani? Na alokwambia mie CUF nani?
Ebo we VUTU vipi, mbona hueleweki?!!!
 
Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa chama kitaifa njia pekee ya kuondoka kwenye uwenyekiti kitaifa ni mpaka hapo Mwenyezi mungu atakapoamua na si vinginevyo,hii ni aibu si tu kwa taifa letu bali pia ni ubakaji mkubwa wa demokrasia yetu changa

Shida ya vyama vyenye mlengo wa kidini siku zot ni hiyo ya kung'ang'ania madaraka. Si mnaona yanayotokea nchi za kiarabu! Kwao uongozi ni ufalme
 
Labda kwa faida ya wana JF,nikumbushe tu kwamba, CHADEMA ndo chama pekee kati ya vyama vya upinzani ambavyo wamebadilishana uongozi na wastaafu wake bado ni wanachama na wajumbe wa kamati kuu ya chama chao.Hii ni tofauti na CUF ambayo hata mwasisi wake Bw.Mapala baada ya kupinduliwa alishahama hata chama chenyewe hivyo ni ufinyu wa fikra kudai eti CUF walibadilishana uongozi.
 
Tangu Tanzania ianze mfumo wa vyama vingi ni vyama viwili pekee ambavyo vimeweza kubadilisha wenyeviti wao kitaifa .Vyama vingine kama vile cuf,tlp,na Udp ni kama vile ukishakua mwenyekiti wa chama kitaifa njia pekee ya kuondoka kwenye uwenyekiti kitaifa ni mpaka hapo Mwenyezi mungu atakapoamua na si vinginevyo,hii ni aibu si tu kwa taifa letu bali pia ni ubakaji mkubwa wa demokrasia yetu changa
Tuweke kumbukumbu vizuri kwa faida ya mwanzisha mada na wasomaji.
NCCR-Mageuzi Kimekuwa na wenyeviti ngazi ya taifa kama ifuatavyo;
1. Marehemu Chifu Abdallah Fundikira (mwenyekiti wa NCCR, kabla hakijasajiriwa kuwa chama. Baadaye alihamia UMD na kumalizia maisha yake CCM)
2. Mabere Nyaucho Marando (mwenyekiti wa kwanza wa NCCR, baada ya kusajiriwa kuwa chama. Kwa sasa yuko CHADEMA)
3. Augustine Lyatonga Mrema (sasa ni mwenyekiti TLP)
4. Marehemu Aidari Maguto (aliaga dunia akiwa mwenyekiti)
5. James Frencis Mbatia (mwenyekiti wa sasa)
6. Atakayeshinda uchaguzi ujao
 
Mhhh wewe ndo unajiita "great thinker"!!! Aibu kubwa sana, ni bora kama hujui uulize, huenda umeanza kuijuwa CUF 2010! Lakini bni vyema uulize, ili uwe mjinga, kuliko kuripoka unaishia kuonyesha upumbavu wako hadharani!

CUF kimeshabadilisha wenyeviti na makatibu wakuu mara mbili (sio kwa kupeana mtu na mkwewe)! Mwenyekiti wa kwanza alikuwa James Mapalala, katibu mkuu akiwa ni Shaban Mloo (Kuchi), baadae Kaja Prof Lipumba na katibu wake Maalim Seif Sharif, kwa kura za wajumbe sio kupeana! Huwezi kufananisha na CHADEMA, uongozi wa kupena mtu na mkwewe!

Usirushe mawe nje, wakati umo kwenye nyumba ya vioo, utaadhirika!
Umesema vema, James Mapalala ndiye mwasisi wa chama cha CUF ambaye baada ya kuwakaribisha kina Seif ndani ya chama aliwekwa pembeni muda mfupi tu baada ya kuamua kukikabidhi CUF kwa w kutokana na madai ya "wadhamini' (Waarabu wa Oman) kamwe wasingeweza kusapoti chama chenye viongozi wakristu. Naona Lipumba ni wa pili na wa kudumu hadi Mungu aamue vinginevyo. Sivyo?
Lakini wenzenu CHADEMA wameshakuwa na wenyeviti watatu ndani ya kipindi kisichozidi miaka (1992-2011) hadi 2011)Alianza Mzee Mtei, akaja Bob Makani na sasa yuko "Field Marshal" Mbowe. Kama kipimo cha demokrasia katika chama ni kubadilisha uongozi wa juu kila wanachama wapendavyo basi CHADEMA ndicho chama kinachoongoza hapa nchini.
 
Hahahaha hiki chama cha ukoo, baba mkwe kamuachia mkwewe uenyekiti, ndo munaiita democrasia! My foot! Kuna tofauti gani na kule arabuni wale wanaotaka kurithishana uongozi kati ya mtu na mwanawe, kama alivyotaka kufanya Ghadafi? Nyie kweli ni "great sinkers" Hivi ndo ukipenda chongo ndo uite kengeza?!!!!
 
" Kura huamua uwingi wa mabishano "

Hata kama ni mkwe, mtoto, mjuu, mke, ilimuladi ni kwa manufaa ya chama haina shida Kama unavyoona sasa moto unavyowaka hadi watu wanashindwa kujenga hoja kwa manufaa ya nchi wanabaki na mapovu mdomoni kuisimanga CDM na Lissu .....ila mkera sana basi tu

"...Utasikia mheshimiwa sipikwa...."
"...Mheshimiwa Mungu...."

Mwaka huu moto mnao
 
Hahahaha hiki chama cha ukoo, baba mkwe kamuachia mkwewe uenyekiti, ndo munaiita democrasia! My foot! Kuna tofauti gani na kule arabuni wale wanaotaka kurithishana uongozi kati ya mtu na mwanawe, kama alivyotaka kufanya Ghadafi? Nyie kweli ni "great sinkers" Hivi ndo ukipenda chongo ndo uite kengeza?!!!!

tuweke rocord sawa, Mbowe hakupokea uongozi kutoka kwa nkwewe, alianza Mtei akaja Makani then Mbowe au unamaanisha mbowe kaoa kwa Makani? Pia jua kwa sasa Makongoro Nyerere ana sifa zote za kugombea uenyekiti ccm je utasema wameridhishana?
 
Back
Top Bottom