Ccm ccm

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
CCM CCM mwenye wingi wa maneno na porojo zako ni nyingi,miaka yako leo 32 ukidunga watanzani,RICHMOND ikabwenga,melemaeta ikatungwa kuwaibia wana hoi,EPA nayo ikachota bila huruma kwa Walipa kodi,Loliondo ilienda na kuacha watz watupu,Itakuwaje kama watz tutadai kila mmoja chake,angalia Rirahisi linavyoanguka ni muashirio tosha wa maovu myafanyayo....

SLAA GO HOMMIE
 
Back
Top Bottom