Ccm bila =lowasa e, aziz r, chenge a. Itafika..?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Tumeshuhudia kujivua magamba kusiko kwenyewe, kama wanataka lakini kama hawawezi ama hawataki. CCM wanasukumwa na ukelele wa jamii hasa wanapokumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita wanapata HOFU YA KUTAMANI KUTENDA KULIKO DHAMIRA NDANI YA NAFSI ZAO, hivi ikitokea wamewatimua hao watu watatu CCM ITASIMAMA....?
 
Does Kikwete have the GUTS and moral authority to fire these guys? Akiwafukuza atakuwa amefanya dhambi ya ubaguzi na hatakuwa salama!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom