Ccm baada ya miaka lukuki nini wataielezea jamii?ili waeleweke kwa wananchi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nilikuwa nikitafuta nikitugani watakifanya kwa kuazimisha miaka yote hii tangu kuzaliwa kwake wawezekujivunia mbele ya macho ya watu?Maana kauli mbiu ya ccm na mwal nyerere ilikuwa ujinga,maradhi,umasikini,Rushwa lakini hivi ndivyo vimewakumbatia wananchi!!CCM wanaona aibu??
 
Back
Top Bottom