Elections 2010 CCM at it AGAIN. SMS zishaanza upyaa!!

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,743
Kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...
"CHADEMA WAMESHATEKELEZA AHADI YA KUMWAGA DAMU. JUZI WAMEMUUA NDUGU WA MGOMBEA WA CCM MASWA. MJUMBE WA KAMPENI YA SLAA AMEKAMATWA. TUWAKATAE CHADEMA"

Kwenye bold hapo ni kwamba shibuda ndiye anayeshikiliwa isivyo halali mpaka sasa, hivyo wanavyosema kuwa mjumbe wa kampeni wa slaa amekamatwa huo ni uwongo na kuchafuana kama walivyo wachafu.

Wakuu nimeweka hii namba hapo kwani utata wake ni kwamba ina tarakimu tano badala ya sita hivyo naamini kuna NIAmbaya makusudi imefanywa na hata hao wenye mtandao (ZAIN) kupitisha huu ujumbe.
Pili ni kwamba mimi ninaomba msaada wa kisheria niweze kushtaki maana ujumbe huu maana sijui mtumaji ana lengo gani na mimi.

nimejaribu kumpigia mwenye namba simpati. kama kuna mtaalam anaweza kuipata chanzo ya hii namba tumwanike hapa jukwaani
 
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
 
CCM hawawezi kuacha kampeniza za SMS kwani sio kosa... katiba au sheria vinasemaje kuhusu cyber crime au sms mbaya kwa ujumla?

wangekua wanataka haya yaishe shamte asingekua bado anadunda ma mamilioni

the best form of defence is attcking, CHADEMA HAS the ingredients to do teh same job, but in a better way and by less than billions spent by MK and his team, :amen:

No one needs to buy a house worth billions to develop stupid cybercrime through sms
 
shamte ana gateway ya kupita simu zote zinazopigwa tanzania........

hana hasara hata kidogo kutuma hizo jumbe kwa watu
 
wanajamii leo nimepokea ujumbe wa simu kutoka kwenye namba 25570781639 inayosema "CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuuadugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbu wa kampeni ya slaa amekamatwa tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu". hizi msm zanatumwa na nani na hii namba ni kama sio ya kawaida au ndio kutapatapa kwenyewe?
 
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
Aamin.
nimetumiwa ujumbe huo na kama nimeteleza kusema shibuda anashikiliwa is a ubinadamu. kwani ameachiwa kule maswa?
Pili nimetoa hadhari na namba nimeweka hapo. nipo radhi kupeleka simu yangu ikaguliwe mamlaka ya mawasiliano au vyombo vya dola kama nimewahi kusambaza any sort of kampaign majitaka smses.

Tumia akili unapotoa puvu lako la sivyo unaonekana umeshiriki kuutunga huo ujumbe.
nimesoma ulivyokurupuka kujibu ndo imenipa clue ya kufanyia kazi

kazi kweli kweli ..............kuna watu wanaamini wao tu ndo wana uchungu na nchi!
 
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
we kalumekenge angalia mwanajf mwingine ameshaupata ujumbe naye. na namba zimetofautiana. kuna kitu hapo. ila always utagundua tarakimu moja inamiss. linganisha na namba nilizotoa.
Acha upuuzi wa kizamani. shiriki kusimamisha hizi spinning dogo

wanajamii leo nimepokea ujumbe wa simu kutoka kwenye namba 25570781639 inayosema "CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuuadugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbu wa kampeni ya slaa amekamatwa tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu". hizi msm zanatumwa na nani na hii namba ni kama sio ya kawaida au ndio kutapatapa kwenyewe?
 
shamte ana gateway ya kupita simu zote zinazopigwa tanzania........

hana hasara hata kidogo kutuma hizo jumbe kwa watu
Yeah... hushangai siku hizi vijana wadogo wanakwenda Ikulu kama wanaenda movenpick... tena wale wenye IT companies, haya mambo bwana balaa
 
wanajamii leo nimepokea ujumbe wa simu kutoka kwenye namba 25570781639 inayosema "CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuuadugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbu wa kampeni ya slaa amekamatwa tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu". hizi msm zanatumwa na nani na hii namba ni kama sio ya kawaida au ndio kutapatapa kwenyewe?
mimi ujumbe huo umepitia namba 078049550 ila tarakimu moja inamiss hapo kama ilivyo kwenye simu yako.
Kuna wataalam wa IT wasio waaminifu ktk hizi kampuni za simu wanatumika vibaya
 
Usiache kuwajibu wakikutumia msg. USIPOWAJIBU WANAWEZA KUFIKIRI WANAFANIKIWA. WAJIBU KUWA MAKAMBA ALIKUWA ENEO HILO NA TAYARI WALIMTUHUMU SHIBUDA .NI NANI AJUAYE UMAFIA WAO?
KIASI CHA MGOMBEA WA CCM KUWA NA UJASIRI WA KUMPIGA OCD KITUONI. HIYO LAZIMA KUWEPO NA NGUVU KUBWA NYUMA YAKE INAYOASHIRIA JAMBO JUU YA KIFO HICHO. CCM HUPENDA KUTUMIA VIFO KUFANYA KAMPENI KWANI MAISHA YA WATU SIO MUHIMU TENA KWAO. Wajibu pia kuwa mijaribu wakati wa Wangwe lakini Mungu mkubwa iliwageuka CCM na CHADEMA walishinda
 
Yeah... hushangai siku hizi vijana wadogo wanakwenda Ikulu kama wanaenda movenpick... tena wale wenye IT companies, haya mambo bwana balaa
matumizi mabaya ya technologia dhidi ya TAIFA.
bahati yao mbaya kwani mtaani kuna IT specialists wakali kuliko hao wanajipendekeza ikulu ndo maana hawafurukuti wakijaribu spinning.
 
Usiache kuwajibu wakikutumia msg. USIPOWAJIBU WANAWEZA KUFIKIRI WANAFANIKIWA. WAJIBU KUWA MAKAMBA ALIKUWA ENEO HILO NA TAYARI WALIMTUHUMU SHIBUDA .NI NANI AJUAYE UMAFIA WAO?
KIASI CHA MGOMBEA WA CCM KUWA NA UJASIRI WA KUMPIGA OCD KITUONI. HIYO LAZIMA KUWEPO NA NGUVU KUBWA NYUMA YAKE INAYOASHIRIA JAMBO JUU YA KIFO HICHO. CCM HUPENDA KUTUMIA VIFO KUFANYA KAMPENI KWANI MAISHA YA WATU SIO MUHIMU TENA KWAO. Wajibu pia kuwa mijaribu wakati wa Wangwe lakini Mungu mkubwa iliwageuka CCM na CHADEMA walishinda
mkuu namba inagoma kupokea sms maana tarakimu moja imekosekana. kuna mwanajf mmoja naye kaanzisha thread yake akiwa na ishu kama hii yangu na ametumiwa kutoka namba nyingine but only one digital missing.
Nimezimwaga namba hapa ili wakali wetu wa mitandao watuwekee data ni nani ametumza hizi na amesajiliwa kama nani. Hizi ni namba za tanzania na siyo finland ambazo hazikusajiliwa nchini
 
mimi ujumbe huo umepitia namba 078049550 ila tarakimu moja inamiss hapo kama ilivyo kwenye simu yako.
Kuna wataalam wa IT wasio waaminifu ktk hizi kampuni za simu wanatumika vibaya

inaweza ikawa sio tatizo la kampuni ya simu hapo, kuna makampuni mengine yanayohusika na gateway na hizi service kama za promotions ambao wanaweza kutumia mamlaka yao viaya kutenda hilo
 
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.
wewe baradhuli, umenikera kweli kwa kuniita mwongo na kunibambikizia kesi
haya soma hapo chini habari iliyoingia hivi punde uone kama mimi niliteleza kuhusu shibuda kushikiliwa
Habari nilizopata sasa hivi toka Maswa ni kwamba Shibuda bado anashikiliwa na polisi kwa amri ya Makamba. Lakini popularity yake haijateteleka na ndiyo inaongezeka (sympathetic popularity). ni uonezi tu maana hakuwa kwenye tukio. Tuzidi kumwombea

Next time usiwe na akili za KIPOMBE POMBEEE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom