CCM Arusha sasa wajisalimisha kwa Pinda...

Leo kwenye taarifa ya saa moja usiku katika Channel ten...

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ameomba Waziri Mkuu kuingilia kati sakata la Umeya wa Arusha kwa kutoa ufafanuzi kama Katibu wa Mkoa wa CCM Arusha ambaye ni mbunge wa viti maalumu wa Mkoa wa Tanga anaweza kushiriki katika kupiga kura za kumchagua Meya wa Arusha kwa vile sasa ni mkazi wa Arusha badala ya Tanga.

Kauli hii ya CCM Arusha inatofautiana na ile ya Makamba ambaye kila mara amekuwa akisisitiza Chadema waende Mahakamani kuhoji uhalali wa Chatanda kushiriki uchaguzi huo...

Kama kweli Huyo M/kit wa CCM mkoa anaongea upuuzi huo ni bora asije taka umaarufu kwa vyombo vya habari jamani sie ni watu wazima wasitufanye kama mazuzu hapa au uko Arusha wananchi wamedhalauliwa kiasi gani mpaka huo mkoa CCM waonekane ndio mkoa wao wa Ki CCM????? au ku nani hapo A town CCM wanahitaji lazima tu ni wakubwa wamepateka hapo na ndipo machafuko yatakapo anzia ndugu zangu mmoja mji huo najua kabisa hauna hadhi ya kuitwa jiji Tanga ni kuzuri kwa kupangika nikiwa na maana ya mipango miji ila Arusha ninavyokufahamu watu wamejijengea holela ni sehemu chache sana viwanja vimepimwa ki jiji inavyopaswa kama kuna wakweli waseme hapa tusi mnyongeee Arusha nchini jamani kama ni uongo sememni Arusha yastahili JIJI??? sasa kwanini hawa CCM wanalilia hilo jimbo hapo?

Huyo M/kiti anamtaka pinda aingilie kivipi amtetee Chitanda kuwa ni mkazi wa Arusha? kwa sasa kumbukeni Makatibu wa CCM kama Chitanda ni wakuhamishwa kila kukicha iweje yeye ni mkazi wa Arusha leo? na huku ni mbunge viti maalumu kutoka Tanga na ndiko sasa huko ni makazi yake, kwa akili ya kawaida tuu jamani kwa hili la u mayor huko Arusha ndg M/kiti wa CCM chitanda sio wa huko ni wa Tanga nandiko akapigie kura ya Mayor wa JIJI la TANGA

Msimfanye Pinda mjinga hayo yote ni kuharibiana huko wewe umeshindwa kuiongoza CCM kutetea jimbo la arusha mjini ambalo kwa desturi tuu CCM huwa inalipata kwa kupitia mahakamani na kuchakachua sasa this time imekula kwenu msilazimishe mambo hapo kuna baadhi ya viongizi wengi wa CCM esp Mawaziri wanajiuliza pia CCM arusha kunani hapo mwataka kujionyesha au kujitakasa kwa JK kuwa mwalifanyia kazi jimbo hilo ni aibu sana mwakuwa kama haman famili pia zikawashauli kuhusu hiliii

 
Leo kwenye taarifa ya saa moja usiku katika Channel ten...

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ameomba Waziri Mkuu kuingilia kati sakata la Umeya wa Arusha kwa kutoa ufafanuzi kama Katibu wa Mkoa wa CCM Arusha ambaye ni mbunge wa viti maalumu wa Mkoa wa Tanga anaweza kushiriki katika kupiga kura za kumchagua Meya wa Arusha kwa vile sasa ni mkazi wa Arusha badala ya Tanga.

Kauli hii ya CCM Arusha inatofautiana na ile ya Makamba ambaye kila mara amekuwa akisisitiza Chadema waende Mahakamani kuhoji uhalali wa Chatanda kushiriki uchaguzi huo...

Inaonesha CCM imejaa vichwa maji na watu wanaamka na kujitungia sheria zao tu. Waziri mkuu hana mamlaka wala uwezo wa kutoa ufafanuzi kwenye hili. Na kama CCM katika vikao vyao wameanzisha drama ya kuja kwa wananchi na upuuzi huu, basi Pinda aseme tu kuwa anaweza piga kura kama diwani kwa kuwa ni mbunge wa Tanga ambaye ni Mkazi wa Arusha.

What next?: Watakubali ya Arusha halafu wahamie Dar sasa, kuwa uchaguzi wa Meya wa Dar haukuwa halali kwa kuwa haukuwashirikisha wabunge wote wanaoishi Dar. Karibia 80% ya wabunge wa JMT ni wakazi wa Dar na watakuwa na haki ya kushiriki vikao vya udiwani Dar.
 
Nakupa five mkuu. Same applies to Chief justice (ushaidi upo kabisa alipelekewa mafaili ya watu fulani akasema kama ni mkristo sahauni kabisa) bad enough akalazimika kuchagua J11. yaani aliruka watu 10 kisa tu ampate anayemtaka. It should be noted Chief justice position inatokana na seniority in a sense kwamba J1 or J2 or J3 wao ndio wako next to chief justice na wanauzoefu wa shughuli hizo. Sasa kilichoshangaza wengi ni kwamba from J1 to J10 inamaanisha wote hao promotion zao zilifanyika kimakosa? I am sure na vyeo vingine vingi aliangalia sifa kama hiyo. Watanzania tunachukia udini lakini Kiongozi anapo-set that tone inakua vigumu kuuepuka.



Tatizo la huyu mkwere hafikirii mbali yeye anaangalia dini kwanza, Kilichomfanya amteuwe Makaamba si ujuzi bali yaweza kuwa ni dini yake:smile-big:
 
Kinachooneka na kuwa amplified na Makamba na the likes of Chitanda ni kukosekana leadership kwa CCM.
 
Leo kwenye taarifa ya saa moja usiku katika Channel ten...

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha ameomba Waziri Mkuu kuingilia kati sakata la Umeya wa Arusha kwa kutoa ufafanuzi kama Katibu wa Mkoa wa CCM Arusha ambaye ni mbunge wa viti maalumu wa Mkoa wa Tanga anaweza kushiriki katika kupiga kura za kumchagua Meya wa Arusha kwa vile sasa ni mkazi wa Arusha badala ya Tanga.

Kauli hii ya CCM Arusha inatofautiana na ile ya Makamba ambaye kila mara amekuwa akisisitiza Chadema waende Mahakamani kuhoji uhalali wa Chatanda kushiriki uchaguzi huo...

Leo asubuhi Tambwe kafafanua kwamba wabunge wa viti maalum hawana jimbo wanaweza kuwakilisha popote wanapoishi hivo Chatamba hana tatizo kuwakilisha ARUSHA maana sheria ya uchaguzi inasema uwakilishi wa viti maalum si mikoa. Uwakilishi wa mikoa ni utaratibu wa CCM pekee na aliongeza kwamba kama wanataka utaratibu wa CCM wa wawakilishi wa mikoa kutumika katika sheria za nchi then wapeleke mapendezo kwenye tume ya kurebisha sheria ili uwe sheria ya nchi badala ya sheria ya chama. TATIZO LANGU NI KWAMBA HAPO MWANZO WAKATI PRESSURE ZA WAPINZANI ZINAANZA KUKUWA WALIDAI CHATANDA HAKUPIGA KURA, LEO KTK MAHOJIANO WANAKIRI KUWA CHATANDA ALIPIGA KURA. THEN KWANINI WANABADILI KAULI KILA MARA? na kama Chatanda aliungwa mkono Tanga wakati ya kuomba ubunge maalum kwanini asiendelee kutoa mchango kwa wale walioridhia uwakilishi wake badala ya wkenda kwa wale wasiomuhitaji? je, huo si uroho wa madaraka?
 
Kuna kila sababu ya kuwapima hawa jamaa akili! Kwa kuanzia na yule anaye nukuu vifungu vya Biblia pasipo pake na kumdhihaki mola!

you are right 1000% nadhani huu ni ukoo wa WAGAGAGIGIKOKO maana ni watu wa ajabu kabisa sijapata kuona, ; puuuuuuuuuuuuuuuuuuh:frog:
 
Mary Chitanda amenyea kambi. Hakubaliki duniani maana amedhulumu haki. Hakubaliki peponi maana ametukana viongozi wa dini. Ole wake. Kuzimu tu ndio itampokea.Huo ndio mshahara wa mazandiki!
 
we have a long way 2go..but i would like 2remind the ccm gvt that u can blow out a candle but u cant blow out a fire cz once the flames began2catch the wind will blow it higher..rip companero aluta continua
 
Wana JF, Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Makamba atastaafishwa na Kamati kuu itakayoketi hivi karibuni. Chitanda atafukuzwa na Kapt. J. Chiligati kutawazwa Katibu Mkuu Mpya.

Kwa hiyo, tusiwaseme sana hao C na M.

CCM Original
 
Huu mgogoro pamoja na mambo mengine umedhihirisha umuhimu wa kufutilia mbali huu ubunge maalum ambao sasa CCM imeanza kuutumia kutaka kupora madaraka katika halmashauri za miji.

Napendekeza katika mabadiliko yajayo ya katiba, ubunge wa viti maalum ufutwe kabisa au as a compromise, kama itaonekana uwakilishi wa akina mama unahitaji kuongezwa, basi pawepo na nafasi maalum za akina mama ambao watapigiwa kura katika uchaguzi mkuu, ambapo kila wilaya(siyo jimbo la uchaguzi) yenye halmashauri, wananchi wake watapiga kura kumchagua mwana mama mmoja ambaye atakuwa anawakilisha hiyo wilaya na pia atakuwa mjumbe wa halmashauri ya wilaya husika. Hiyo itatuondolea matatizo yote.
 
kwa sasa ndo mana tunakiita chama cha mauaji (CCM)................................Pambaaaf senu CCM
 
Which Things, other can be assembled. Centre will hold whether you like or not



Assembling is very diffrent from original and in IT we call it "A clon PC". its durability depends on the expert involved in the task. Think about our party out of Nyerere no one has shown at least reasonable talents to restore its reputation. If we are not carefully especially our leaders, we are not far from falling into a bottomless pit. And that days seems to come so soon than I expected!!
 
Wengi mnakosea sana kufikiri na kuamini kuwa Yusuph Makamba ni chaguo la JK kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Hiyo ni mbali sana na ukweli.

Chaguo la JK lilikuwa Ditopile Ukiwaona Mzuzuri, kabla hajafanya madudu yake na kum-dito dereva wa daladala Bakari Mlawa.

Hata hiyo safari ya Dito kuwa Dar iliyopelekea akam-dito Bakari, ilikuwa ni katika maandalizi ya kuachia ukuu wa mkoa Tabora na kuja kutangazwa Katibu Mkuu wa CCM. The rest is history.

Makamba alipendekezwa na kupigiwa ndogo ndogo na Lowassa, Kingunge na Rostam huku wakipata msaada wa Mzee Ruksa, wakati huo mambo yao yakiwa bado mswano na JK. Kama walivyofanya kwa Msekwa na kumuweka kando Tingatinga Malecela. Kawawa hakuafiki haya sana, lakini walimuweka kando hadi akajifia zake kule kwake Madale Kiluvyia.

Makamba pia kwa utashi na kujua which side of his bread is buttered, alizidi kujijenga kwa JK zaidi na kuwa the ultimate Yes-man hata kwa watoto Riz-1 na Miraji na Mama yao wa kambo Salma na bwana mdogo Khalfani wa CCM Chipukizi. That was then.

Sasa hivi JK anamtafutia tu Makamba nafasi muafaka, na hali ikiwa nzuri atamtema. Ila kwa hali iliyopo sasa na misuguano ndani na nje ya CCM, Makamba ataendelea kupumua na kukalia kiti kwa kuwa JK haoni au hajui nani ataweza au nani ni nafuu. Tatizo linakuja kuwa kwa jinsi ambavyo Makamba anaendelea kuwapo hapo ndiyo vurugu-mechi inavyoongezeka, na ndivyo ambavyo inakuwa vigumu kumuondoa. Kwa wenye kumbukumbu, watajua nini nasema kulingana pia na wakati akiwa RC wa Dar.
 
Nikimsikia Mzee Makamba anaongea najiuliza kwa nini hata asiombe ushauri kwa mwanae January japo amwandikie cha kuzungumza.
Huyu mzee hana kipawa cha kuzungumza kwenye hadhara, pengine anachoweza ni uchekeshaji kwa mfano kwenye maharusi n.k

Lets see what Mtoto wa Mkulima will come up with!!!!!!
 
Back
Top Bottom