CCK yaingia Arusha kwa kishindo

Mbona mlikuwa kimya sana kwani mlikuwa wapi? Na mnaingia Arusha nani mgombea wenu? na mwisho kabisa hiyo safu yenu ya uongozi tujulisheni ni akina nani?
 
tunachokitaka hapa arusha ni siasa za kistaarabu na kampeni tulivu,malumbano hapa hayana nafasi make chadema washatuchosha na maandamano ya kutwa mara tatu!
 
natumai tutapata uhondo wa kusikiliza sera za chama kipya cha siasa tena cha vijana kama akina akitanda na wenzie,tunasubiri ustaarabu katika siasa
 
Hivi mnaweza kujieleza mna nini kipya, Dira yenu ni nini? kuna tofauti gani na vyama vingine vya Upinzani?
Bila jibu zuri hapo.
Chapa lapa
 
tunachokitaka hapa arusha ni siasa za kistaarabu na kampeni tulivu,malumbano hapa hayana nafasi make chadema washatuchosha na maandamano ya kutwa mara tatu!

sema nimechoka na chadema,sio tumechoka.umechoka mwenyewe,p...mbf.a city'z belong to cdm.viva cdm
 
Naona washindani wa CUF na CDM wanaongezeka kwenye chaguzi.
namba moja anajulikana
OTIS
 
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha
 
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.
 
tumeichoka cdm,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa cdm,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? Nini hii?? Afadhali cck ije arusha

fikra masaburi zinazaa mgandano wa mawazo na akili
 
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha

Ndugu,

Ndugu sema ume SIO tumeichoka na CHADEMA. Serikali ilitaka mchakato wa katiba wauteke wao, kama sio chama makini (CDM) hata hayo mabadiliko madogo yasingekuwepo. Pamoja na kwamba mabadiliko sio makubwa ila yale ya msingi yamerekebishwa
Angalia:
1. Wajumbe wa kamati ya kuratibu maoni watateuliwa/ kupendekezwa na wanakotoka; tofauti na mwanzo
2. Wadau wataweza kutoa elimu ya mabadiliko ya katiba tofauti na mwanzo
3. Msimamizi wa mchakato katika mkoa atakuwa Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya
N.K, N.K, N.K
 
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.

Usiseme cck watagawa kura za cdm, unajua walioko ccm watakaoshaushika na sera za cck ni wangapi?
 
Back
Top Bottom