CCJ wameishia wapi?

Kiko mifukoni mwa Watu kinasubiri wale watakaofukuzwa kwenye vyama vyao vya sasa :A S 465:
 
Tumuulize Nape anaweza kuwa na jibu sahihi. Labda anasubiri CCM kinuke aibuke tena na chama chake
 
Mpendazoe alikzidoa,kimekosa wateja sababu uasisi wake una element za usaliti
 
Kina subiria 2015 kiibuke tena. Sasa hivi kipo mapumziko. Ila kuna member fulani humu alikipromote sana 2010 atakua anajua zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom