CCJ sasa ni CCK

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Kuna tetesi kwamba baadhi ya walio kuwa viopngozi wa CCJ (Chama Cha Jamii) wameunda chama kipya cha CCK (Chama Cha Kijamii) kikiongozwa na Constantine Akitanda.

Mh je huu ni mvimyo wa zamani ndani ya chupa mpya au mvinyo mpya ndani ya chupa ya zamani?
 
I n longer trust cck or ccj guys ci ndo mkubwa wao alihamia kwa mafisadi?
 
Back
Top Bottom