Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Mkulu Kitila Mkumbo,
Hivi nchi hii itaendelea kwa mtindo huu wa kutaka kufanya mambo kwa kificho na kichinichini hadi lini? Ni aibu sana kwa nchi ambayo inajitapa kwamba inaendesha nchi kwa misingi ya utawala bora kwa kufuata demokrasia, kufanya michezo ya kuigiza ya aina inayoendelea hivi sasa nchini mwetu. Tunaipeleka wapi Tanzania yetu?
Kuna kificho zaidi ya haya wanayofanya CCJ? Watu walio behind CCJ wanaogopa kujitokeza, wanawatanguliza watu ambao sio wanasiasa, matokeo yake wanafanya madudu hadi yanakera, sasa nani anayejifica hapa? Mimi binafsi hawa CCJ wananikera kwa sababu wame-deviate attention yetu. Badala tu-focus kwenye mambo ya msingi ili uchaguzi ujao tuimarishe bunge letu kwa kuongeza wapinzani, tumebaki tunajadili CCJ ambayo haipo!! It's is a shame upon us all.