Ccj ilikuwa mradi wa nani???

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
5
....wanaJF, nimekaa nikatafakari kuhusu kile chama cha CCJ kilichoibuka from no where wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu mwaka jana, kiliibuka ibuka tu na ikasemekana ni watu waliojimega kutoka CCM,,,,,ila kilidisapper kama jinsi kilivyoibuka baada ya kuletewa mizengwe ya usajili!
Hivi yawezekana ule ulikuwa mradi wa mafisadi au??
 
ccj ilikuwa plani ya ya watu furani kuharibu muelekeo wa cdm kwakuwa iliandaliwa ili kuhakikisha cdm inapoteza umaarufu. walitegemea kwakuwa watakipa umaarufu ili kisikike zaid ya cdm lakini walikuwa na uhakika kuwa watu hawawezi kukiamini sana. kilichowashtua ni zile taarifa za kuwa wapo vigogo wanataka kujiunga huko hiyo iliwashtua kwavile wanawafahamu wanamvuto wakaamua kuahirisha. mpendazoe alipoingia alisema mimi nimetangulia wenzangu wanakuja hiyo ndo ikawa uthibitisho tosha!!.

hivyo ndivyo nilivosikia mimi kutoka kwenye radio mbao ambazo huitwa na bwana frani!
 
don't ask about the dead,it's worthy concentrating on the living
 
ccj ilikuwa plani ya ya watu furani kuharibu muelekeo wa cdm kwakuwa iliandaliwa ili kuhakikisha cdm inapoteza umaarufu. walitegemea kwakuwa watakipa umaarufu ili kisikike zaid ya cdm lakini walikuwa na uhakika kuwa watu hawawezi kukiamini sana. kilichowashtua ni zile taarifa za kuwa wapo vigogo wanataka kujiunga huko hiyo iliwashtua kwavile wanawafahamu wanamvuto wakaamua kuahirisha. mpendazoe alipoingia alisema mimi nimetangulia wenzangu wanakuja hiyo ndo ikawa uthibitisho tosha!!.

hivyo ndivyo nilivosikia mimi kutoka kwenye radio mbao ambazo huitwa na bwana frani!

thanks mkuu for the maelezo,,,,,i appreciate alot!!!!
 
Back
Top Bottom