CCIEs Worldwide

gharama,vasilities,muda,njaa......ulizia hizo CCNA wanazo wangapi bongo?
 
Hivi hakuna mTanzania yeyote aliyefanya CCIE kama Mbongo? nilikuwa naangalia katika website za cisco inaonyesha kuna CCIE holders 17840 (last updated 9/9/2008) worldwide lakini hakuna hata mmoja kutoka TZ. kama ni hivyo inabidi tuvute msuli!!!
http://www.cisco.com/web/learning/le3/ccie/certified_ccies/worldwide.html

..we unayo?

..pamoja na kufahamu mambo ya network kwa mbali sana, nafahamu kuwa kozi za cisco ni moja ya kozi ngumu za networking.

..tatizo letu hapa tanganyika hatujikiti kwenye kupata certification. ila wapo jamaa wanao-deal na issue za cisco networks kila leo.
 
Tuvute msuli?

Watu wengi wana maswali kuhusu CISCO.
Kusoma ni kuwekeza. Ni muhimu kujua soko linahitaji nini na liko tayari kukulipa kwa kiwango gani. Ukisoma hiyo kozi and you don't practice it - ni hasara. Is it good enough of a reason to pursue it just because it is one of the highest level of achievement?

Utaweza kujiajiri?
Depending on where you work, you'll likely be under utilized. If you really fancy the stuff and wish to pursue it, tafuta mwajiri anayehitaji hiyo skill uingie naye mapatano. Hapa bongo kwa mfano, watu wengi tu wanasomeshwa kozi kama MCSE na kampuni au mashirika yaliyowaajiri. Hali kadhalika kwa hapa kwetu, utaona kwenye nafasi za kazi wanahitaji mtu mwenye CCNA; ila utambue kwamba in most cases they aren't going to ask you to configure cisco routers or VLANs. Did you know that CCNA certifications are valid for three years?

Btw, kuna tracks kadhaa za CCIE certification.
http://www.cisco.com/web/learning/le3/learning_career_certifications_and_learning_paths_home.html

There are no formal prerequisites for the CCIE exam, but Cisco recommends one has at least 3–5 years experience in networking before attempting to become a CCIE. CCIE was the first Cisco Certified qualification, and as such there were no other certifications that could be taken prior. The development of the associate and professional certifications was due to recognition of the fact that a CCIE is overkill for many networking personnel, and also for the vast majority of businesses who employ such people, and that certifications needed to be offered at lower levels.

Do a bit of search to know the amount of effort needed to attain CCIE skills. But why would you want to get this certification in the first place if I may ask?! One need to have a wide range of expertise.

.
 
Juakali naona wewe ni Network Engineer,
In that case, nothing should stop you from pursuing CCIE. Kilongwe anaelekea huko.
I would have chosen CCIE Security.

.
 
Last edited:
Tuvute msuli?

Watu wengi wana maswali kuhusu CISCO.
Kusoma ni kuwekeza. Ni muhimu kujua soko linahitaji nini na liko tayari kukulipa kwa kiwango gani. Ukisoma hiyo kozi and you don't practice it - ni hasara. Is it good enough of a reason to pursue it just because it is one of the highest level of achievement?

Utaweza kujiajiri?
Depending on where you work, you'll likely be under utilized. If you really fancy the stuff and wish to pursue it, tafuta mwajiri anayehitaji hiyo skill uingie naye mapatano. Hapa bongo kwa mfano, watu wengi tu wanasomeshwa kozi kama MCSE na kampuni au mashirika yaliyowaajiri. Hali kadhalika kwa hapa kwetu, utaona kwenye nafasi za kazi wanahitaji mtu mwenye CCNA; ila utambue kwamba in most cases they aren't going to ask you to configure cisco routers or VLANs. Did you know that CCNA certifications are valid for three years?

Btw, kuna tracks kadhaa za CCIE certification.
http://www.cisco.com/web/learning/le3/learning_career_certifications_and_learning_paths_home.html

Do a bit of search to know the amount of effort needed to attain CCIE skills. But why would you want to get this certification in the first place if I may ask?! One need to have a wide range of expertise.

.
Nikuulize mkuu hapa bongo kuna uwezekano matumizi ya cisco yakawa madogo so ikaonekana kuwa ni useless kwa mhusika?
 
Inatubidi wabongo tuangalie mbele zaidi, kuna mifano michache nimekuwa nikisoma magazetini kwamba makampuni mengi ya nje yanaajiri wakenya na Wauganda na waBongo wanalalamika. Kwanza ni swala kama hili ukiwa mtaalam wa kupindukia siyo lazima ufanye kazi pale nyumbani. Ukiweka resume yako online hata siku moja haitaisha utakuwa umeisha ondoka, pili ISP ndo zinavuka kila kona wanahitaji wataalam. Hivyo basi kama uwezo unao siyo vibaya ukachangamkia!!
 
..we unayo?

..pamoja na kufahamu mambo ya network kwa mbali sana, nafahamu kuwa kozi za cisco ni moja ya kozi ngumu za networking.

..tatizo letu hapa tanganyika hatujikiti kwenye kupata certification. ila wapo jamaa wanao-deal na issue za cisco networks kila leo.

Miye Mtanganyika vile vile! ningelikuwapo nayo Cisco wangeonyesha kuwa kuna MTZ mmoja mwenye ccie, kama vile waKenya watutu walivyoonyeshwa.
 
Nikuulize mkuu hapa bongo kuna uwezekano matumizi ya cisco yakawa madogo so ikaonekana kuwa ni useless kwa mhusika?

Kwa mtu wa ICT, CCNA ni muhimu (essential) hata kama hushughuliki na Cisco devices kazini kwako. Ikiwa mipango yako ni kufanya kazi bongo, ni vizuri kuuliza kujua mahitaji yakoje kabla ya kufanya advanced level courses. Pia ni muhimu zaidi kusomea mambo ambayo una interest nayo hata kufikia level yoyote ili mradi unaweza.

Si kwamba bongo hakuna mahitaji kabisa, ila unaweza ukajikuta unasoma mambo ambayo hayahitajiki mahali utakapofanya kazi (Europe/USA/Africa).
Unajua hizi sio vendor-neutral certifications. Wao wame-focus zaidi kwenye Cisco technologies. Kwa hiyo kuna mambo ambayo yameegemea kwenye products zao, na si ajabu kukuta mtu kasoma mambo ambayo hayana msaada kwake.

Inasaidia sana kufanya kazi kwa muda kabla ya kufanya advanced courses za Cisco. Kama umefikia hatua hiyo, ni vizuri ukawasiliana na akina Kilongwe ujue experience zao na kupata ushauri.
Kama hujui njia ya kwenda Morogoro, utamuuliza mtu aliyewahi kupita njia hiyo au sio?

Binafsi nimejifunza jambo hapa kwamba hulazimiki kufanya Cisco Professional courses ili kufanya CCIE ambayo ni level ya juu yake. Na maadam CCIE ina vipengele kadhaa, kufanya kimojawapo sio ngumu kama ambavyo nilifikiri mwanzo. Naamini CCIE Security kwa mfano, inahitajika hapa kwetu.

.
 
Wabongo bado tunasafari ndeefu katika elimu hasa hizio proffesional courses.watani wetu ndo wanapotugia bao hapo.Hata zile bodi kama NBAA wanabana kiroho mbaya watu wasipate CPA wakijua watapiga bao kwenye life.Roho mbaya tu
 
Nijuavyo kuna vyuo vingi hapa bongo vinavyofundisha Cisco courses kama IT Essentials (kukuandaa kwa A+ Certification) na CCNA. Gharama ni kuanzia laki nane hivi na kozi hizi huchukua kama miezi sita na masomo hutolewa kama saa moja au masaa mawili kwa siku za kazi.

Hadi sasa vyuo hivi havitoi CCNP nafikiri kwa sababu ya gharama na labda pia mahitaji ya soko.

Hiyo CCNA yenyewe wabongo wengi husoma na kupata certificates of attendance zitolewazo na vyuo husika na wanaogopa kufanya mtihani wenyewe kutoka CISCO ! kwa hiyo CCNAs sio wengi sana ingawa waliochukua hiyo kozi ni wengi tu.

CCIE, CCNP, na pia ilikuwapo RHCE hizi si kozi za kusoma tu na kufanya mtihani ni vizuri ukafanya practicals za kutosha na shida sasa ingebidi uwe kazini kama network administrator wa kampuni kubwa then ndo ufanye mtihani.

Anyway that is my opinion. Nafikiri kwa yeyote mwenye nia ya kufanya professional courses kama hizi uwe unajua kwamba ukimaliza utafanya nini na isiwe tu kusoma na kuwa na vyeti maana vyeti hivi huisha muda wake pengine baada ya miaka mitatu na kama hutakuwa umepata kazi ndani ya kipindi hicho inaweza ikakubidi ufanye tena mtihani.

Advice yangu kwenu plan vizuri kabla hujatumbukiza shilingi yako katika course hizi.
 
Mimi sina CCIE.

Nilifanyaga CCNA, CCDA, na CCNP between 1998 - 2004. Kama ningelikuwa unyamwezini probably ningekuwa na CCIE, maana vipressure vya kazi za huko vinakufanya ulazimike kuongeza your profession standings.

I am interested in sharing my knowledge in Bongo on a volunteering basis (yani bure!). I haven't yet planned on how to go about it, but the sooner the better. I want to inspire more wabongo (Wazawa) kwenye field ya networking...
 
planckscale,
Hebu cheki na Micronix

Micronix Systems Ltd

Kama utawatwangia simu, ongea na bwana anaitwa Albert Omollo. Mswahili poa sana huyu, alinifanyia usaili miaka miwili hivi iliyopita. Natumaini sijamchanganya na jamaa mwingine. Omba appointment, ni vizuri zaidi ukienda ofisini kwao.

Watu wengi wanatafsiri volunteering kuwa sawa na kufanya kazi bure. Usiende huko kwa fikra hizo. Ukifanya kazi on volunteering basis utegemee some allowances mfano ya usafiri, chakula n.k. Sina hakika sana na hali ya hapa Tanzania - it should be made illegal kumfanyisha mtu kazi bila kumpa chochote; hata maji? Hali kadhalika wale wanaofanya practical training.

Micronix, kwenye website yao wameonyesha kwamba wanatoa employment type ya "Voluntary".
 
Hello Above contributers

Kama mtu alifanya IDCS (International Diploma in Computer studies)Bongo aka trend kwenye programing and database....career progress yake inakuwaje?Kwani programing unakuwa umejifunza Java,SPM,Visual basic and Web Design.Ushauli afanye nini..kama hataki kufanya advance?
Kutoka Kaskazini.
buswelu
 
Yeye anataka kufanya nini? Maoni yako nini kuhusu jibu lake?

Kuhusu career progress and further studies, sehemu kubwa ya majibu itatoka kwake.
What motivate him/her
Nini kilimsukuma kusoma databases and programming
Maoni yake nini kuhusu hicho ambacho tayari amesomea
Dadisi ujue yeye ana interest zipi
Baada ya masomo amefanya kazi zipi na kwa muda gani
Ni mambo yepi ambayo tayari ameshaona kwamba hana interest nayo
 
Kimsingi CCIE sio kazi rahisi ila kwenye nia pana njia,Tatizo letu watanzania wengi hatuna malengo ya mbali,sisi tunaangalia chini ya miguu yetu tuu.Mtu anayesema CCIE huenda haina matumizi bongo basi huyo inabidi tumfukuze kwenye field ya IT,Nenda!

Mimi nilikuwa na ushauri mmoja ambao wabongo wangeweza kuutumia katika kuhakikisha wanafikia malengo.
Kwa sisi tulio nje ya nje kutafuta access ya material then kuwamwagia wale waliopo bongo ambao wana moyo wa kusoma.
Siku hizi kuna online tutorial kibao ambazo kama ni kweli mtu ukaamua kukomaa nazo huku kukiwa na google basi unaweza fanya kila kitu.
Wazo langu ni kuwa sisi kama Ma IT kuwa na network ambayo inatuunganisha pamoja na kupeana nondo.
Tudesign huge website ambayo tunaweza hata kuihost huku china(Wamarekani hawawezi kuwaingilia wachina kwenye pirate issues) then ikawa ni source ya material na information. katika kipindi hichi cha mpito huku tukitafakari njia sahihi.
Wakuu nchi yeyote duniani inajengwa na wasomi,ingawa nipo busy na maandalizi lakini huwa natumia muda katika kuhakikisha nawasaidia watanzania wenzangu kwa hali na mali bila hata kuwafahamu.Utanzania mbele.
Mazee tukae chini na kutafakari nini suluisho?
 
planckscale,
Hebu cheki na Micronix

Micronix Systems Ltd

Kama utawatwangia simu, ongea na bwana anaitwa Albert Omollo. Mswahili poa sana huyu, alinifanyia usaili miaka miwili hivi iliyopita. Natumaini sijamchanganya na jamaa mwingine. Omba appointment, ni vizuri zaidi ukienda ofisini kwao.

Watu wengi wanatafsiri volunteering kuwa sawa na kufanya kazi bure. Usiende huko kwa fikra hizo. Ukifanya kazi on volunteering basis utegemee some allowances mfano ya usafiri, chakula n.k. ....

MbwaMvivu, asante kwa ushauri wako. Bure na maanisha BURE. Sitafuti kazi, bali nataka kutoa mchango wa kuendeleza taifa...siunajua wengine sisi tulinyweshwa maji ya bendera :D

Throughout my academic and professional experience I benefited the most from those who actually had hands-on experience - not just theory. I want to do the same to Wazawa.

Nilikuwa nafikiria kufanya seminar once a month kama pale Dar Tech au Mlimani...we will see
 
Hello All,

Naomba msamaha kwa ku hijack post ya zamani sana.

I just wanted to inform you all that Tanzania is now in the list of CCIE's worldwide :).

I , as a proud Tanzanian, have achieved the CCIE in RS.

Anyone seeking to study in this field , feel free to PMm.

Asante!
Murtaza
 
Back
Top Bottom