CAUTION:Hujuma ya kuhujumu upinzani Arumeru siku ya wajinga

Feb 8, 2012
92
8
Kuna tetesi baadhi ya wanasiasa wanataka kuwapotosha wapiga kura Arumeru siku ya wajinga trh 01/04/2012 ambayo ni siku ya kupiga kura.Wanapanga mikakati ya kuwadanganya wananchi na kuwapotosha kuhusu CHADEMA.Lengo lao ni kupunguza kura za CHADEMA kwa kuwazuia wapiga kura waijitokeze vituoni.
 
Wananchi wa Arumeru si wajinga na walishaelezwa juu ya suala hili. Na wakifanya hivyo itakula kotekote maana ambaye ataacha kuja kupiga kura huwezi mjua ni wa chama gani?


Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom