catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa na bado hajarecover sana nikamuuliza kwan vipi kaka akatamka kwa machungu jina lako sa nkasema catherine yupi? Akasema wa chitchat unautesa moyo wake sana anumia anhitaj nafas juu ya hili. Taafaadhali mi ni dada na nina familia yangu ila nimejizatiti kuubeba mzigo huu pliiiz kaka angu ankuhitaji naomba uumpe nafasi tafadhali ye ameenda oga soon atakuja kuthibitisha juu ya hili na usiogope sana kwan kuna kipind si uunajua tena ujana alikua na binti king'ast ndo jina lake lakin kuna tatizo lilitokea hadi likampelekea kaka kuokoka but kaona anhitaji mtoto mzuri ka wewe ,sasa mama naomba nitoe hoja na taarifa juu ya hili.

wako mtiifu Beibe nasty mke wa halali wa judgement
 
I love u Mwa beibe nasty...nashukuru. I hope bibie Catherine ataupokea moyo wangu huu...
Umewai vunjwa na kina Meritta, King'asti, vivian et al...ila moyo nu kama kioo..hata kipasuke vp..ukiangalia kwa karibu utaiona taswira yako bado.
Ha ha ha! Wow! Malavidavi yameanza, uuuuwwwii wapi watu8? Weekend imeanza hebu rudi nyumbani mapema mwenzio umeniacha mpweke!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mmh! huyu Catherine hajawah kuja kwa Kaizer wangu ila mye nilikuwa namfundisha ujanja wa jamvini. Mentor nakusaidia kumwita Catherine aje akutibie ila akikataa basi shaka ondoa kuna ajuaye kutibu zaid ya wote naye huyu ni cacico macho yake tu wewe lazima uzimike.
Madame gfsonwin nimekusoma aisee sasa naomba uhakikishe huyu Binti anatulia kwa huyu kijana wangu nimwaminie Mentor walau apate raha za dunia...sawa eeeh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom