Castle lite

castle milk stout ndo mpango mzima. kama vipi ntatumia hiyo right coz nina nguvu hadi za kuvuta gereda. nataka zipungue kidogo coz nikulala hadi zinapasua shuka. Mia
 
Shabashiii..Mkuu Mungi wewe ulipaswa kuwa wa kwanza kukanusha tuhuma hizi kwani wewe ni mtumiaji. Je ni kweli network huwa inakata kata pindi unapokuwa umekata hii castle lite....???

Mi natumia Castle lite, nitafurahi sana kama ni kweli inapunguza nguvu za kiume niondokane na usumbufu wa kuchomeka chomeka!
lakini nasikia Reds ndiyo inayopunguza nguvu za kiume, tatizo ni tamu na mimi siwezi kunywa!
 
Mkuu toka nianze kutumia nimekuwa mbaya kuliko kawaida. Kitu inakuwa na nguvu kama nini!
waongo hao. labda kama baadaye ndiyo italeta shida sijui
Shabashiii..Mkuu Mungi wewe ulipaswa kuwa wa kwanza kukanusha tuhuma hizi kwani wewe ni mtumiaji. Je ni kweli network huwa inakata kata pindi unapokuwa umekata hii castle lite....???
 
Mbona tumekuwa so sensitive sana kwa sisi waafrica. Ukisema nguvu za kiumu kila mtu atatoa attention yake..lakini ukitaja vingine hamna anayejali..hii inaonyesha ni kwa jinsi tunapenda haya mambo!!
Ndio maana uchumi wetu haukui kwa double digit...
 
Kumbe inaongeza na sio inapunguza....labda namna wanavyokunywa wengine mkuu bila kuweka vitu mbavuni.....unakula chips vumbi..halafu unakamata castle lite 10....lazima network inakata kote kote mkuu...inatakiwa upige trupa nzima halafu unakamata castle lite..ukitoka hapo network inakamata mbaya....toa maoni yake Mungi na wewe
Mkuu toka nianze kutumia nimekuwa mbaya kuliko kawaida. Kitu inakuwa na nguvu kama nini!
waongo hao. labda kama baadaye ndiyo italeta shida sijui
 
Kunywa safari lager kama mimi hutapata malalamiko ya namna hiyo. Mimi nakunywa safari lager au nikiwa ugenini nagonga Guiness the power. au huku kijijini kwetu napiga balimi. Mbona hutamsikia mamsapu akilalamika? maana unaweza ukasimama usiku mzima
 
mimi 025.jpg Safari Lager bwana ndo beer.
 
Mkuu uliniona mahali nini? yaani umeanika maujanja yangu yooote!
Kumbe inaongeza na sio inapunguza....labda namna wanavyokunywa wengine mkuu bila kuweka vitu mbavuni.....unakula chips vumbi..halafu unakamata castle lite 10....lazima network inakata kote kote mkuu...inatakiwa upige trupa nzima halafu unakamata castle lite..ukitoka hapo network inakamata mbaya....toa maoni yake Mungi na wewe
 
Mkuu toka nianze kutumia nimekuwa mbaya kuliko kawaida. Kitu inakuwa na nguvu kama nini!
waongo hao. labda kama baadaye ndiyo italeta shida sijui
kama badae basi itakuwa ni uzee sio bia
 
Kuna hii kitu, Captain Morgan ni rum aisee ni noma waweza amka usiku uende mbugani
 
eeh,naijua hiyo kaka,kali sana kuna jamaa angua aliendaa kugonga kwa jirani yake akijua ni kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom