Caspian Mining Limited inamilikiwa na nani?

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
WanaJF?
Nasikia wamiliki wa Caspian Mining/Construction Limited ni RA and his family pamoja na Habib. Sina hakika kama ndo huyu CEO wao but frontline kwenye discussion za earth movers kwenye mine sites naona Habib and Acram Aziz. Nasikia CCM wanahisa hapa. Is this true?

Habari ambazo sijazidhibitisha ni kuwa kuna kampuni nyingine inaitwa RINO/RENO imeanzisha na inafanana sana na Caspian Logo. Je ndo hio inayozungumziwa na Tanzania Daima ya leo jumapili?

Walipita hapa Mwanza wakielekea North Mara, vipi ile tenda ya huko wanaanza lini kwa wenye taarifa? Tatizo ni nini? Habari za hapa na pale ni kuwa Barrick hawataki RINO wanataka Caspian. Mwenye taarifa zaidi kwa manufaa ya wanaJF ni nzuri zaidi

Nani na wasifu wa Habib? Is he Tanzanian?

Naombeni mwenye maelezo yeyote.

Asanteni
 
Rostam Aziz ni kikwazo kikubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu Tanzania, hawa wanaoua maulbino wasio na kosa wangemuondoa huyu muhujumu uchumi RA, na CCM inamlinda kwa kuwa ni mshirika wa mheshimiwa
 
Rostam Aziz ni kikwazo kikubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu Tanzania, hawa wanaoua ma-Abino wasio na kosa wangemuondoa huyu muhujumu uchumi RA, na CCM inamlinda kwa kuwa ni mshirika wa mheshimiwa

Naungana nawe asilimia kubwa sana kwenye hili .
 
Caspian ni ya King Maker, Rostam Azizi na familia yake. Hata kelele zipigwe vipi, Rostam ndiye aliyemfikisha JK hapo alipo hivyo-hawezi fanywa chochote!.
 
Caspian ni ya RA ilo halina ubishi.Kama JK yuko apo alipo kwa hela za huyu fisadi basi JK lazima alaumiwe bse huwezi tumia au pewa ela bila kuuliza zimetoka wapi?Thats nonesense.
JK ni vyema amchangie uyu fisadi kwa kuhakikisha anakwenda KEKO
 
Caspian ni ya King Maker, Rostam Azizi na familia yake. Hata kelele zipigwe vipi, Rostam ndiye aliyemfikisha JK hapo alipo hivyo-hawezi fanywa chochote!.

Background ya rostam ni hohehahe tu, alikuja hapa nchini mtupu tu, ameiba fedha yetu then anafanya ukarimu wa kukirimu chama ili aonekane tajiri, watanzania ni vzr kuelewa hakuwa na hela yoyote ya kumsaidia yeyote kushinda uchaguzi!! hela alizo nazo ni za wizi!!!
 
Last edited by a moderator:
kuna reno agency ambayo ni ya wakina lundega na reno nyingine inafanya mambo ya AC kuweka katika majumba
 
Kuna mtu ameniambia kuwa hii kampuni ya RINO ipo pia Buzwagi.....
 
Background ya rostam ni hohehahe tu, alikuja hapa nchini mtupu tu, ameiba fedha yetu then anafanya ukarimu wa kukirimu chama ili aonekane tajiri, watanzania ni vzr kuelewa hakuwa na hela yoyote ya kumsaidia yeyote kushinda uchaguzi!! hela alizo nazo ni za wizi!!!

Utajiri wa RA ni questionable!!!!!!???????????????????? SSM na TISS wanajua fika chanzo cha utajiri wa RA!!!!!!!!! but since RA was clever enough to penetrate the system then akahakikisha ameshaiweka system pabaya na hawatathubutu ku question utajiri wake. Kuna siri imefichwa hapa.
 
Caspian ilianzishwa mwaka 1992 na ilianzishwa kabla ya RA kuwa Mbunge na kabla ya EPA scam, wana JF mali yote ya Rostam sio ya wizi! Kumbukeni kwamba pesa za Kagoda zilitumika katika kampeni ya CCM 2005 na hazikuenda kwa Rostam bali zilitumiwa na chama katika kumweka JK hapo alipo, ndio maana hawawezi kumfanya kitu Rostam...yeye ndio swahiba wa JK.
 
WanaJF?
Nasikia wamiliki wa Caspian Mining/Construction Limited ni RA and his family pamoja na Habib. Sina hakika kama ndo huyu CEO wao but frontline kwenye discussion za earth movers kwenye mine sites naona Habib and Acram Aziz. Nasikia CCM wanahisa hapa. Is this true?

Habari ambazo sijazidhibitisha ni kuwa kuna kampuni nyingine inaitwa RINO/RENO imeanzisha na inafanana sana na Caspian Logo. Je ndo hio inayozungumziwa na Tanzania Daima ya leo jumapili?

Walipita hapa Mwanza wakielekea North Mara, vipi ile tenda ya huko wanaanza lini kwa wenye taarifa? Tatizo ni nini? Habari za hapa na pale ni kuwa Barrick hawataki RINO wanataka Caspian. Mwenye taarifa zaidi kwa manufaa ya wanaJF ni nzuri zaidi

Nani na wasifu wa Habib? Is he Tanzanian?

Naombeni mwenye maelezo yeyote.

Asanteni

Ndugu yangu unafanya kazi Caspian au?
 
kila lenye mwanzo lina mwisho, na nakuahidi huo mwisho tutauona kabla ya 2010 au mapema zaidi. hivi nini tatizo Watanzania tupo wadhaifu kiasi hicho??. nipo tayari kutenda dhambi kwa yeyote anayeweza kufanya kazi ya kumuondoa mimi nitachangia $ 1,000.00
samahani kama mtaniona mubaya ni uchungu tu kwa nchi yangu na watu wake

Uchungu haukupi haki ya kutaka binadamu mwenzako auawe. Mbaya zaidi unaposema kuwa uko tayari kuchangia hiki kitendo kiovu! Hapa umekosea sana. Tena sana.
 
WanaJF?
Nasikia wamiliki wa Caspian Mining/Construction Limited ni RA and his family pamoja na Habib. Sina hakika kama ndo huyu CEO wao but frontline kwenye discussion za earth movers kwenye mine sites naona Habib and Acram Aziz. Nasikia CCM wanahisa hapa. Is this true?

Habari ambazo sijazidhibitisha ni kuwa kuna kampuni nyingine inaitwa RINO/RENO imeanzisha na inafanana sana na Caspian Logo. Je ndo hio inayozungumziwa na Tanzania Daima ya leo jumapili?

Walipita hapa Mwanza wakielekea North Mara, vipi ile tenda ya huko wanaanza lini kwa wenye taarifa? Tatizo ni nini? Habari za hapa na pale ni kuwa Barrick hawataki RINO wanataka Caspian. Mwenye taarifa zaidi kwa manufaa ya wanaJF ni nzuri zaidi

Nani na wasifu wa Habib? Is he Tanzanian?

Naombeni mwenye maelezo yeyote.

Asanteni
Habib ni managing director na rostam ni owner wa Caspian ........ni expert n he is very smart kwenye kazi.katupiga gap sana watz
 
Background ya rostam ni hohehahe tu, alikuja hapa nchini mtupu tu, ameiba fedha yetu then anafanya ukarimu wa kukirimu chama ili aonekane tajiri, watanzania ni vzr kuelewa hakuwa na hela yoyote ya kumsaidia yeyote kushinda uchaguzi!! hela alizo nazo ni za wizi!!!
rostam kazaliwa hapa hapa tz mwamala.nzega tbr then wakahamia.mwisi....namjua vzuri kabisa maana kacheza na wazee wangu kwaio usipotoshe
 
Huyu anayesema rostam alikuja hapa nchini kaiba ni walele wazuri. Wanaongea vitu bila evidence.
 
Caspian ni ya King Maker, Rostam Azizi na familia yake. Hata kelele zipigwe vipi, Rostam ndiye aliyemfikisha JK hapo alipo hivyo-hawezi fanywa chochote!.
Na leo tuko busy kumfikisha Edo hukohuko Magogoni kupitia safari ya matumizi, na wewe ni miongoni mwa wafuasi wake watiifu. Hii ndio Tanzania.
 
Back
Top Bottom