cash cash cash

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
742
kwa wale mjuao bei ya kilo moja ya nyanya azamu na viwanda vingine vya kusindika chakula ebu nijuzeni.kuna kashamba ekar 10 nataka kulima nyanya kwa njia ya kisasa, but im stranded about bei,

help
 
Mkuu ninge kushauri usikurupuke.
- Tatizo linalo tusumbua c c ni kwamba tuna fanya kitu bila reserach, au tunafanya mambo kwa ku ashumu tu.
Hizo nyanya wewe unajuaje ukilima Azamu kiwanda watanunua?
Vipi umeisha ongea nao?
Umeaingia contact na hivyo viwanda ili uwauzie nyanya?
Vile viwnda vinafanya kazi mwaka mzima utaweza kuwa supply kiwango wanacho taka?

- mkuu kuna kitu kinaitwa contact farming, kabla ya kwenda shambani na kuanza kulima lazima ufahamu yafutayo
1. Nani ni tamuuzia mazo yangu baada ya kulima?
2. Nitamuuzia kwa bei gani?
Tatizo c c tunaingia kulima then tukisha vuna ndo tunaanza kutafuta wateja.

Tatizo kubwa linalofanya wakulima wasifaidike na kilimo ni hili la contact farming, hawana contact maalumu na watu wano nunua mazao
 
mkuu, usihangaike na azam au sijui redgold

hawa viwanda vyao wanaagiza kitu kinaitwa tomato paste (artificial) in bulk ambazo ni lab produced halafu wanafanya packaging and branding

hakuna nyanya ya ukweli pale
 
da nimetoka shamba, nikakuta majibu yamewekwa asanteni sana! ntafika kiwandani mda c mrefu. nihakikishe macho kwa uso
 
Back
Top Bottom