Carlos The Jackal convicted in France!

Alifanya UMAFIA Wake Mwingi ila Alisalimu Amri Kwa Mzee Wangu Yoweri Kaguta Museveni Kwani Kisa Cha Yeye Kukamatwa na Interpol Nchini Sudan ni Baada Ya Kupewa Assignment na Rais Omar Ali Bashir wa Sudan Ya Kumuua Rais Wa Uganda ktk Uwanja wa Kimataifa Wa Entebbe Kwa Kuwa Museveni Alikuwa Akiwaunga Mkono Akina Hayati John Garang na Kikundi chake cha SPLA huku Bashir Nae Akimuunga Mkono Muasi Wa Muda Mrefu Joseph Kony na Kundi Lake La LRA. Kilichotokea Ni Kwamba Wakati Carlos The Jackal Akijaribu Kumvizia Museveni Pale Uwanjani Kikundi cha Ulinzi Cha Rais Ambacho Pia Kinaongozwa na Mwanae Muhoozi Kainerugaba Kiitwacho PGB ( Presidential Guard Brigade ) Ambacho Sasa Kinaitwa SFC ( Special Force Command ) Walikuwa Imara Sana na Kucheza na Angles Of Dangers ( Nadhani Wana USALAMA Haswa Wale wa VIP's ) Hapa Mtakuwa Mmenielewa na Pia Hata Ile Trademark Hat Ya Museveni Nayo Ilikuwa ni Kikwazo Kikubwa Kwake Carlos Kwani Alikuwa Akivizia Sana Sehemu Muhimu ktk Kichwa Cha Museveni ili Akibonyeza tu Trigger Yake Basi Awe Ameshamaliza Kazi. Hakufanikiwa na Alipoamua tu Kurudi Sudan Kuripoti Kwa Bashir Kuwa Ameshindwa na Apewe Muda ili Ajipange Upya Wakamgeuzia Kibao na Kudai Kuwa Pengine Amechukua Mlungula Kwa Baba Museveni na Haraka Sana Wakapiga Simu Nchini Ufaransa Ambao Walikuwa Wakimsaka Kwa Udi na Uvumba na Kwa Hatimaye Kwa Msaada Wa Askari Wa Interpol Wakaenda Kumkamata Jijini Khartoom. Ni Hayo tu Wana JF........!!!!!!!

Nilivyokuwa nasoma hili bandiko ni kama naangalia movie vile iko very interesting and detailed. safi sana mkuu endelea kutujuza zaidi
 
Jamaa ni Muislam safi kabisa huyo baada ya kufadhiliwa kwa muda mrefu na nchi za kiislam baadae aliamua kusilim na kufuata dini ya haki. Takbiiirrr.......
 
Asante sana mkuu naomba kuuliza swali hivi Carlos the Jackal alirecruit wapi na walimtrain kwa sababu gani.
alikua trained na Peoples Front for the Liberation of Palestine-General command(PFLP-GC),chini ya wadi hadad
 
2639236.jpg
 
huyo jamaa alikamatwa baada ya ufaransa kufanya deal na iran ya kuwaachia magaidi wawili wa kiiran,in return iran waliokua na influence kubwa sudan,waliipressure sudan imkabidhi kwa ufaransa carlos.kipindi hicho carlos alikua kalazwa hospital akitibiwa majeraha,walimdunga sindano ya usingizi na kisha kuwakabidhi wafaransa.

Nikipata mda ntaweka full story hapa.

Huna Unalolijua na Isitoshe Sipo hapa Kushindana na Wewe na Nina Uhakika wa Asilimia 100 na Narudia tena Asillimia 100 na Nilichokiandika hapo na Ukitaka Mengine Mengi Naweza Kukupa ila Kimaadilli Ya Kazi Napotezea. Endelea Kushindana Ila Mimi Nawapa Watu Facts Kwani Nipo JIKONI. Siku Zingine Nitashindwa hata Kuwapeni na Mengineyo Kwa VIHEREHERE Vyenu. Huna Unalolijua na Vizuri MWANAMUME Nikikupa News Nyeti hapa Wewe MWANAUME Utulie Tuli Sawa? Nakupa Kazi Tofautisha kati Ya MWANAMUME na MWANAUME Kisha Utanielewa.
 
Asante sana mkuu naomba kuuliza swali hivi Carlos the Jackal alirecruit wapi na walimtrain kwa sababu gani.

Sasa hapa Unamuuliza Nani? Mimi au Huyo Lofa Mwingine Aliyedandia Treni Kwa Mbele???????????????????????
 
Nilivyokuwa nasoma hili bandiko ni kama naangalia movie vile iko very interesting and detailed. safi sana mkuu endelea kutujuza zaidi

Akhsante ILA Kwa Suala La Carlos Nimeishia hapo tu Labda Kama Ukitaka Nikupe Mkanda Mzima Wa Matukio Mengine Ya KIJASUSI na Ya KIMAFIA Yawe Ya Hapa Kwetu au Nchi Jirani au Africa Kwa Ujumla Wake bila Kusahau na Huko Overseas Nipo Tayari na Weka Tu Kisanga Kinachokutatiza na Nitakudadavulia Kuanzia Ilipoanza, Ikaweje na Ikaishaje. Kazi Kwako.
 
Alifanya UMAFIA Wake Mwingi ila Alisalimu Amri Kwa Mzee Wangu Yoweri Kaguta Museveni Kwani Kisa Cha Yeye Kukamatwa na Interpol Nchini Sudan ni Baada Ya Kupewa Assignment na Rais Omar Ali Bashir wa Sudan Ya Kumuua Rais Wa Uganda ktk Uwanja wa Kimataifa Wa Entebbe Kwa Kuwa Museveni Alikuwa Akiwaunga Mkono Akina Hayati John Garang na Kikundi chake cha SPLA huku Bashir Nae Akimuunga Mkono Muasi Wa Muda Mrefu Joseph Kony na Kundi Lake La LRA. Kilichotokea Ni Kwamba Wakati Carlos The Jackal Akijaribu Kumvizia Museveni Pale Uwanjani Kikundi cha Ulinzi Cha Rais Ambacho Pia Kinaongozwa na Mwanae Muhoozi Kainerugaba Kiitwacho PGB ( Presidential Guard Brigade ) Ambacho Sasa Kinaitwa SFC ( Special Force Command ) Walikuwa Imara Sana na Kucheza na Angles Of Dangers ( Nadhani Wana USALAMA Haswa Wale wa VIP's ) Hapa Mtakuwa Mmenielewa na Pia Hata Ile Trademark Hat Ya Museveni Nayo Ilikuwa ni Kikwazo Kikubwa Kwake Carlos Kwani Alikuwa Akivizia Sana Sehemu Muhimu ktk Kichwa Cha Museveni ili Akibonyeza tu Trigger Yake Basi Awe Ameshamaliza Kazi. Hakufanikiwa na Alipoamua tu Kurudi Sudan Kuripoti Kwa Bashir Kuwa Ameshindwa na Apewe Muda ili Ajipange Upya Wakamgeuzia Kibao na Kudai Kuwa Pengine Amechukua Mlungula Kwa Baba Museveni na Haraka Sana Wakapiga Simu Nchini Ufaransa Ambao Walikuwa Wakimsaka Kwa Udi na Uvumba na Kwa Hatimaye Kwa Msaada Wa Askari Wa Interpol Wakaenda Kumkamata Jijini Khartoom. Ni Hayo tu Wana JF........!!!!!!!

I salute you!! Wewe ni Great Thinker.
 
huna unalolijua na isitoshe sipo hapa kushindana na wewe na nina uhakika wa asilimia 100 na narudia tena asillimia 100 na nilichokiandika hapo na ukitaka mengine mengi naweza kukupa ila kimaadilli ya kazi napotezea. Endelea kushindana ila mimi nawapa watu facts kwani nipo jikoni. Siku zingine nitashindwa hata kuwapeni na mengineyo kwa viherehere vyenu. Huna unalolijua na vizuri mwanamume nikikupa news nyeti hapa wewe mwanaume utulie tuli sawa? Nakupa kazi tofautisha kati ya mwanamume na mwanaume kisha utanielewa.
ITS NOT A CRIME TO DIFFER
sasa hapa unamuuliza nani? Mimi au huyo lofa mwingine aliyedandia treni kwa mbele???????????????????????

mkuu mbona mkali hivyo....!!!!
 
ITS NOT A CRIME TO DIFFER

mkuu mbona mkali hivyo....!!!!

Wala hata Usihofu Kaka Nachangamsha tu Genge Siku ipite na Pia Nawachokonoa Hao Ninaowapinga ili Na Wao Wanipe Facts Zao Nizidi Kuimarika Kiufahamu na Kimaarifa na Wala Usiwe na Wasiwasi Nipo Safi Mwana JF Mwenzangu.
 
Hio inaitwa ''Provocation technique''
 
Kaka Utafanya Wanishtukie!!!!!!!!!! Anyway Sasa Nitabadili Mbinu Zangu za Kuchokoza ili Nijue Mengi.

Mkuu usiache una michango mizuri sana kwenye hii nyanja wewe na mosaad007 I truly salute yoy guys na kila mara nafwatilia michango yenu. Unajua mimi hizo ndio interest zangu.
 
Last edited by a moderator:
Huna Unalolijua na Isitoshe Sipo hapa Kushindana na Wewe na Nina Uhakika wa Asilimia 100 na Narudia tena Asillimia 100 na Nilichokiandika hapo na Ukitaka Mengine Mengi Naweza Kukupa ila Kimaadilli Ya Kazi Napotezea. Endelea Kushindana Ila Mimi Nawapa Watu Facts Kwani Nipo JIKONI. Siku Zingine Nitashindwa hata Kuwapeni na Mengineyo Kwa VIHEREHERE Vyenu. Huna Unalolijua na Vizuri MWANAMUME Nikikupa News Nyeti hapa Wewe MWANAUME Utulie Tuli Sawa? Nakupa Kazi Tofautisha kati Ya MWANAMUME na MWANAUME Kisha Utanielewa.

Sasa hapa Unamuuliza Nani? Mimi au Huyo Lofa Mwingine Aliyedandia Treni Kwa Mbele???????????????????????

Mizimu na Mizuka Ya Kinyarwanda Imenipanda Leo.

Mkuu kwani ugomvi..?? Mbn kama unamuattack mwenzio personal...hata kama huko kwenye system hatuendi hivyo...
This is JF where people are dare to speak freely..
Sa je mi nikikuambia Carlos alikua shemeji yangu tena mimi ndio niliyemchoma kwa French government si utavunja desktop yako ili uingie kunitafuta..
All in all tupeane fursa ya kuchangia uzi kwa uhuru na sio kushambuliana hata kama unajua zaidi
 
Sawa Mbeky nimekuelewa ndugu Yangu na Naomba Sana Radhi Kama Kuna Mahala nimekukwaza ila Ukinizoea Utanielea tu Mwana JF Mwenzangu ila Sentensi Yako Ya Kuwa Carlos Anaweza Akawa ni Shem Wako Ebwana Imenifanya Nicheke Sana na Sina Mbavu! Akhsante Kwa Kuniongezea Siku za Kuishi Mbeky. Nizoee tu Mimi Nipo Poa tu ila Napenda tu Kuchokoza na Kuzingua. Wewe na Wengine Wote Ambao Labda Nimewakwaza hapa na pale Nawaombeni Mno Radhi ila Tupo Pamoja na JF Ni Kila Kitu na Nikikosa Kuingia Humu Huwa Sisikii Raha. Panafundisha, Panaburudisha, Panakosoa, Panashauri na Panafariji Pia na Big Up Sana Kwa Waanzilishi Wake.
 
Mkuu usiache una michango mizuri sana kwenye hii nyanja wewe na mosaad007 I truly salute yoy guys na kila mara nafwatilia michango yenu. Unajua mimi hizo ndio interest zangu.

Acha Hizo Nguli Wewe ndiyo Mtaalam Wa Mambo Haya na Mimi Najifunza Mengi Mno Kutoka Kwako na Kwa Mossad. I Salute too You Guys!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sawa Mbeky nimekuelewa ndugu Yangu na Naomba Sana Radhi Kama Kuna Mahala nimekukwaza ila Ukinizoea Utanielea tu Mwana JF Mwenzangu ila Sentensi Yako Ya Kuwa Carlos Anaweza Akawa ni Shem Wako Ebwana Imenifanya Nicheke Sana na Sina Mbavu! Akhsante Kwa Kuniongezea Siku za Kuishi Mbeky. Nizoee tu Mimi Nipo Poa tu ila Napenda tu Kuchokoza na Kuzingua. Wewe na Wengine Wote Ambao Labda Nimewakwaza hapa na pale Nawaombeni Mno Radhi ila Tupo Pamoja na JF Ni Kila Kitu na Nikikosa Kuingia Humu Huwa Sisikii Raha. Panafundisha, Panaburudisha, Panakosoa, Panashauri na Panafariji Pia na Big Up Sana Kwa Waanzilishi Wake.

Nashukuru sana mkuu..hata mimi nimekuelewa sasa...tupo pamoja sana mkuu...
Shemeji Carlos nikiwasiliana nae ntampa salamu zako
 
Back
Top Bottom