Carling Cup Final: Man Utd Vs Aston Villa

_47390032_mufans2_pa766.jpg


Inside the ground, many Manchester United fans wear green and yellow as they continue their protest against the club's current owners
 
huu uwanja pamoja na mihela yote waliyotumia pitch yake ni rubbish kama zizi la ng'ombe!!

Teething problems tu hizo za wakati ule kwa sababu walikuwa wanataka kufanya a lot of other things on the same pitch.
 
Manure hata wakishinda wamebebwa kwa sababu jamaa aliyesababisha penalty alikuwa apewe kadi nyekundu. - Stupid referee.
 
Manure hata wakishinda wamebebwa kwa sababu jamaa aliyesababisha penalty alikuwa apewe kadi nyekundu. - Stupid referee.

kutolewa kwa huyo vidic LABDA kusengewasaidia kama tulivyoona mechi ya ligi, walishindwa kuwafunga man utd wakiwa 10 tena home ground,watakuwa more proud wakishinda against 11 than 10
 
Rooooooneeeeeyyyyyyy! MANU 2 AV 1, huyu jamaa kwa magoli ya kichwa ananikumbusha enzi za Kitwana Manara.
 
Congrats! MANU, you wanted this cup more than Aston Villa and you deserve it.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=nQJACVmankY&feature=channel"]YouTube- T.I. - Whatever You Like [OFFICIAL VIDEO][/ame]
 
let me congratulate Manure (though painfully) for winning this breakfast cup of tea:D... its more of a EPL/CL rehearsal

Rooney is a world class, we have had very few masimenti type of successful strikers and surely Rooney is more than just a carpenter!! he is a class act

Roonery is a nightmare to defender, better than Drogba and Torres kwa sasa
 
Refa kawabeba hawa wala haina raha. Unatakiwa ushinde kwa uhalali sio kubebwa. Akh ... ... ... huyu refa na vibendera wake shenzi kabisa, ngoma kama hizi huwa hazina radha kabisa.

Wayne-Rooney-Manchester-United-Carling-Cup-Fi_2425589.jpg




BTW mwanzisha hii thread kaingia mitini sasa sijui tulitegemea nini kwenye hili kombe la mbuzi.
 
Manchester-United-fans-Carling-Cup-Final-PA_2425524.jpg






Villa-fans-Aston-Villa-Carling-Cup-Final-PA2_2425531.jpg


Washabiki wa Villa walikuwa na mategemeo



Private-Dave-Tatlock-Carling-Cup-Final-PA_2425574.jpg


Kombe lililetwa kabla ya mpambano
 
Gabriel-Agbonlahor-Aston-Villa-Carling-Cup-Fi_2425535.jpg


Huyu jamaa aliachwa baada ya kufanya hii foul katika dakika za mwanzo tu. Basic rule iliyo-wacost Villa ... ...


James-Milner-Aston-Villa-Carling-Cup-Fina-PA_2425538.jpg



Villa walipoweka ngoma golini


Michael-Owen-Manchester-United-Carling-Cup-Fi_2425548.jpg



Owen baada ya kusawazisha ....


Michael-Owen-Manchester-United-Carling-Cup-Fi_2425552.jpg



Michael-Owen-Wayne-Rooney-Manchester-United-C_2425557.jpg


Owen anatoka baada ya kuumia na Rooney anaingia ...


Wayne-Rooney-Manchester-United-Carling-Cup-Fi_2425575.jpg



Rooney anafunga goli la ushindi ... ...


Wayne-Rooney-Manchester-United-Carling-Cup-Fi_2425578.jpg




James-Collins-Aston-Villa-Carling-Cup-Final_2425587.jpg


Villa katika heka heka ya kutaka kurudisha goli ... . ..
 
Manchester-United-celebrate-Carling-Cup-final_2425592.jpg

Manchester United who lift the 2009/10 Carling Cup trophy and defend their title.


Sir-Alex-Ferguson-Carling-Cup-final-trophy-PA_2425591.jpg


Sir Alex Ferguson gets his hands on some more silverware for Manchester United
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom