Career Opportunities World Vision Tanzania-192 Positions:

Ehh Tabby kulikoni tena mkuu, ebu jaribu kututoa tongotongo kiongozi wangu. Ninavyofahamu hawa watu kupata kazi ni mpaka uwe mkiristu tena mprotestant. Halafu referee lazima awe mtu anayejishughulisha na mambo ya kanisa.

Sasa hii ni mpya tena.

Ni kweli kiongozi. Huo ndio mlango wa kuingilia sebuleni. Sasa ingia ndani uone mambo!. Tena mbona mambo yao yako dhahiri sana? Sishauri mtu aache kazi yake sehemu eti kapata kazi worldvision tanzania!. Atajuta.
 
Yaani hapa ndo nimemaliza post yangu, namtafuta Mzee wa kanisa anipe jina lake na address yake kwa fujo, si unajua uswazi kulivyo mkuu. Ngoja tujaribu tukaone kiongozi wangu Tabby.

Hii nchi ni kupambana kiongozi, katika kila nyanja kuleta ukombozi. wanasema " If you can't kill your enemy, whether buy him or Join him"
 
Last edited by a moderator:
Mbona nimesikia hizi nafasi zina watu tayari, wametangaza kwa ajili ya kufanya zoezi la "restructing" ndani ya taasisi.
 
Mbona nimesikia hizi
nafasi zina watu tayari, wametangaza kwa ajili ya kufanya zoezi la
"restructing" ndani ya taasisi.

personally nashangaa kwanini wamezitangaza hizi nafasi! Atlest angalau wangetangaza nafasi kwa uhalisia.!!
Hili zoezi la restructurinh wanalolifanya karibu watu 176 watabaki na kujaza hizo nafasi...
so walipaswa kutangaza nafasi 16!
Anyways ombeni vijama wenzangu hiwezi kujua, Mungu anaweza fanya muujiza
 
Ni kweli kiongozi. Huo ndio
mlango wa kuingilia sebuleni. Sasa ingia ndani uone mambo!. Tena mbona
mambo yao yako dhahiri sana? Sishauri mtu aache kazi yake sehemu eti
kapata kazi worldvision tanzania!. Atajuta.

nakusoma mkuu Tabby
watu wanapaswa kifanya research ya kina, hizi nafasi watu zimewarusha roho sana but its too bad watu hawajui ukweli kuhusu world vision tanzania!
 
Kwa wale waliosoma mkwawa 2001-2003 watakuwa wanamfahamu huyu Orestes Sota anyetumiwa haya maombi kwa email. Huyu jamaa ni yule aliyekuwa HP mkwawa.kwa sasa yupo world vision huko arusha.
 
Kuna mtu anafanya world vision kaniambia jana kuna nafasi nyingine za kazi eti wanahitaji watu 400: kuna mwingine mwenye kusikia habari hii?
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba wameanza kuita wale walioapply wenye vigezo kwenye interview. Kama ulituma maombi kaa mkao wa kula. Usiweke simu mbali. Kila la kheri
 
mitaa inasema kuwa watu wameshapigiwa simu kwa ajili ya interview ya hizi nafasi, ya kweli haya wadau?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom