care hawajaita watu interview

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
vp wadau kuna tetesi kwamba care international hawajaita watu interview bado kwenye zile nafasi za tabora.........nauliza kama ni kweli au walishaita
 
nawaona mjini hapa wiki ya pili hii, washaanza kazi kitambo
 
care ni miongoni mwa organization zenye mambo ya kamlete....achana nao acha waendelee kuharibu image yao tu siku zao zinakaribia
 
Back
Top Bottom