Cardinal Pengo; Before you jump into politics, Safisha kanisa lako!

wewe unadhani wanaobaka watoto ni wakristo? umeliwa.

kwenye tamasha la pasaka atakalohuzuria JK kuna mchungaji anaitwa Rashid. jiulize.

kanisa limeingiliwa na mpinga-kristo na kama kawaida wanaendeleza ndoto yao ya kuuzika ukristo na kuitawala dunia kwa upanga wakitumia Sharia law. wenye imani timilifu tunajua kwamba enzi na enzi uislamu umekuwa ukijipenyeza ndani ya kanisa ama kwa kuzaa nao ama kwa kujifanya wamemokea yesu na wakifika huko wanapewa vyeo na baada ya vyeo wanaanza kutekeleza ajenda zao za kuchafua kanisa.

wasioamini haya ni wale wanaoamini babu anatibu ukimwi.

iinawezekana kuna baadhi ya (sio tu wakristo) mapadre wana skendo nyingi tu za ubakaji-na majina yao yapo kiintelijensia!! lakini etlist wanachukuliwa hatua,vp kwa ndugu wengine waislamu...tht my point!!

Huyo mchungaji Rashid ninamfahamu tangu miaka ya 1996..kipindi kile anazunguka kila mkoa anatoa ushuhuda,nakumbuka kipindi hicho nipo mkoa wa Mtwara akifanya mahubiri/maono yake pale uwanja wa Mashujaa...sasa sijui unamaanisha kwamba huyu jamaa ni mbakaji..au kanisa limeingiliwa vp hapo??kwasababu huyu jamaa ingawa anaitwa Rashid lakini alishaokoka tangu kipindi kile atoke kuzimu(kwaw mujibu wake).
 
This is the worst cheap shot ever! ungeweza kujenga hoja vizuri kama ungeonesha ni jinsi gani mapadre wa jimbo la Dar wanalawiti watoto au kufanya maovu mengine kwani ni hao peke yake anaoweza kuwawajibisha na kuwachukulia sheria. Kardinali Pengo siyo Kardinali wa dunia nzima. Ndio maana kila Askofu au Kardinali anawajibishwa kwa makosa yanayotokea kwenye jimbo lake tu au mahali ambapo amewahi kuwa kiongozi wake wakati makosa yanafanyika.

Mzungumzaji wa Kanisa zima ni Papa peke yake na tayari ameshachukua hatua kadha wa kadha. Laiti vyombo na mashirika mengine ya kidini nayo yangekuwa na mfumo wa kuwawajibisha wahusika wa vitendo hivi mara moja kwani Kanisa Katoliki worst hit organization linaonesha uongozi na mambo ambayo makanisa na viongozi wa dini nyingine hawajaanza hata kushughulikia.

Ila ni jaribio zuri la kuunganisha vitu visivyo unganika.

Nimependa sana ufafanuzi wako.

Lakini kama kweli Pengo angekuwa muadilifu na anachukia matendo hayo yanayofanywa na Mapadre na maaskofu wa kanisa lake sio tu Tanzania bali dunia nzima lakini sababu ni kutoka thehebu lake la Katoliki hivyo kuharibu sifa ya kanisa lake BASI ANGEJITOA NA KUJUUZULU KANISA HILO ima afungue la kwake kama Kakobe au awe kama Ndugu na rafiki yangu kipenzi Padre Privatus karugendo au awe kama Dr Padre Slaa katika siasa.

Pengo huwezi kwepa hilo kama kweli muadilifu.
 
Nafikiri MM kuna mengi ametaka kufunika katika mada yake. Ina maana hajui kama mapadre wengi wana vimada wamewapangishia mitaani. Na wengine wana watoto kabisa ambapo ni kinyume cha nadhili waliyofunga.

hayo yapo kila pahala na Dar yapo pia.

Pengo alikuwa na kazi kubwa kusafisha boriti kwenye kanisa lake kabla kufikiria kuondoa ya wananchi wote.
 
Kwa mujibu wa katiba tuliyo nayo sasa, Pengo si Mtanzania. Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili. Kwakuwa Pengo ni Kadinali moja kwa moja anakuwa raia wa Vatican state.

Mbona na wewe una uraia wa nchi mbili i.e Tanzania na Zanzibar lakini hatujakuita si MTANZANIA?!
 
Tuambie dini yako, dhehebu lako ili tujue kama una uhalali wa kumzodoa Cardinal Pengo au Kanisa katoliki.
Inaonekana dhahiri wewe aidha ni mdini au ni mpagani.Kama ni mdini hiyo ni ajenda ya ccm hivyo hatushangai huenda umetumwa na unatumiwa, endelea kutumiwa lakini watumishi wa Mungu popote walipo kwa ridhaa ya maandiko matakatifu wanapaswa kukemea maovu km ufisadi,udini na maovu mengine yote pamoja na hayo unayobwabwaja hapo juu. Na endapo wewe ni mpagani nyamaza kimya
Kuna baadhi ya dini ambazo sodomy inaruhusiwa hasa ikiwa kwa wake zao na sio Katholic, kama kuna mapadre ,maaskofu wametenda hayo ni dhambi bado, wanapaswa kutubu.
Hata hivyo utukunaji ni dhambi pia kama unavyo tukana hapa bila kusita wala chembe ya aibu.Mara nyingi tabia hizi kisaikolojia zinatokana na mtu kuwa yeye mwenyewe aliwahi kudhalilishwa utotoni,isije ikawa umeathirika.
Heshimu watumishi wa mungu.
 
Bora mngesema masheikh wasiseme chochote kwani pengo na kanisa lake wanasaidia sana watz kwa huduma za jamii km shule nzuri na bora, vituo vya afya na mahospiyali mengi tu na bila ubaguzi km wafanyavyo wale wala nguruwe kwa siri, mabarabara, kutoa misaada na kusomesha yatima wengi zaidi.................baada ya kufanikiwa sana ni vizuri pia waendelee kukemea maovu ya serikali kwa nguvu zote kwani wamepewa uwezo na mungu...........yaani watu wengine wapuuzi sana eti pengo akisaidia jamii km nilivyotaja hapo juu hawasemi anachanganya dini na mambo mengine ila akigusa vitumbua vya kikwete na mafisadi wake basi nongwa...................
Tusaidieni jamii ya watz ila tusisahau kuwaonya pale wanapotupeleka kusiko kwanoi hii nchi sio ya sheikh ,pengo ,kikwete wala kikundi fulani japo kwa saa tz ni ya kikwete na mafisadi ila nchi hiui inatakiwa iwe yetu sote jamani tuwe huru kutoa maoni yetu..............lakini bila kusahau kuchangia maendeleo kwa vitendo km wafanyavyo wakristo
 
PENGO yuko ok, kwani mzigo ambao serikali unatakiwa uubebe kwa kulipa kodi zetu, resources zetu, na mengine mengi, ss umekuwa mzigo kwa kanisa' mf. Mahospital, mashule, huduma mbalimbali za jamii ambayo kimsingi serikali ndio inayotakiwa kuhudumu ktk hayo, ss imepoteza dira, pengo anapokosowa mnakuja juu. Haya kuwatoeni wagonjwa wenu zote kwenye hospitali za misheni kwani ni mfumo kristo kama mnavyouita. Pengo sema, ukiona wanasema ujue ujumbe umeshafika kaz kwao.
 
sele,

unanishangaza sana kwa uelewa mdogo ulio uonyesha katika hili,kwanza kabisa amani ya tanzania ni jukumu letu sote ,pili pengo kupinga ufisadi ni moja ya kazi zake kama kiongozi wa dini yeyote ,kupinga ufisadi ni kama kukemea maovu katika jamii,kwani leo hii akisema tuache unzinzi ni vibaya ,unafahamu amri za mungu zinasemaje ?na katika hali ya kawaida kupinga ufisadi si ni kuzuia wizi sasa kuna ubaya kuzuia wizi,

sele hebu jaribu kufikiria tena wote tukiwa na mawazo kama yako tunapeleka wapi hili taifa,
 
March 15, 2011
Avenging Altar Boy
By MAUREEN DOWD Off Todays NYTimes.
PHILADELPHIA

The district attorney is burning a eucalyptus-spearmint candle on his desk.

"I think the press looks down upon the D.A. drinking Jack Daniels during the day," R. Seth Williams says with a broad smile, "so I light my little stress-relief candle."

It's understandable if the former altar boy at St. Carthage in West Philly needs to light a votive. The 44-year-old Catholic, who still attends Mass with his family at the same church, now called St. Cyprian, is the first U.S. prosecutor to charge a church official for a sickeningly commonplace sin: Endangering children whom the Roman Catholic Church was supposed to protect by shuffling pedophile priests to different parishes where they could find fresh prey.

Williams, the first African-American elected district attorney in Pennsylvania, was an orphan given up by his unwed mother. He was put into two foster homes before he was adopted at 20 months old by a Catholic family.

"I grew up treating the hierarchy of the church kind of like rock stars," he said in his 18th floor aerie, where he keeps a small iron crucifix and a cross fashioned from Palm Sunday fronds. "If you're going to meet the cardinal, you're supposed to kiss the guy's ring, all this stuff. But it is what it is. I wish I knew the Latin translation for that.

"There's no get-out-of-jail-free card for raping, sodomizing, groping, doing anything wrong to kids."

Msgr. William J. Lynn, who served from 1992 to 2004 as the secretary of clergy reviewing sexual abuse cases for then-Cardinal Anthony Bevilacqua, appeared in court Monday. He is charged with felonies for allegedly helping the cardinal cover up molesters and transferring them to other parishes.

"It was a conspiracy of silence to ensure the church's reputation and to avoid scandal," said Assistant District Attorney Evangelia Manos.

Monsignor Lynn, a round, ruddy man in black priest's garb, sat silently in court behind his two lawyers - paid by the archdiocese - as a cheering squad of priests and parishioners watched.

Lynn's co-defendants sat beside him: a rabbity-looking Rev. James Brennan, 47, charged with raping a 14-year-old boy named Mark in 1996 in his apartment; and the unholy alliance of a priest, the sepulchral Charles Engelhardt, 64, a defrocked priest, Edward Avery, 68, and a former Catholic schoolteacher, Bernard Shero, 48 - all charged with raping or sodomizing the same 10-year-old altar boy 12 years ago.

Lynn's lawyer, Thomas Bergstrom, told reporters that the charges against his client were "a stretch" and that he was pleading not guilty.

And Richard DeSipio, one of Brennan's lawyers, went on the attack against his client's accuser, now 29. "Their witness is in prison in Bucks County for stealing his sister's credit card and using it," DeSipio told Mensah Dean of The Philadelphia Daily News. "He's a convicted liar."

On a local radio show on Tuesday, Brennan - a priest suspended by the church in 2006 - said he was uninterested in a plea deal, and his lawyer continued to paint the accuser as troubled.

Even with a global scandal that never seems to stop disgorging disgusting stories, the Philadelphia grand jury report is especially sordid.

It tells the story of a fifth-grade altar boy at St. Jerome School given the pseudonym Billy. Father Engelhardt plied him with sacramental wine and pulled pornographic magazines out of a bag in the sacristy and told the child it was time "to become a man," the report says.

A week later, after Billy served an early Mass, the report states that Engelhardt instructed him to take off his clothes and perform oral sex on him. Then the priest told the boy he was "dismissed."

"After that, Billy was in effect passed around to Engelhardt's colleagues," the report says. "Father Edward Avery undressed with the boy, told him that God loved him," and then had him perform sex. "Next was the turn of Bernard Shero, a teacher in the school. Shero offered Billy a ride home but instead stopped at a park, told Billy they were ‘going to have some fun,' took off the boy's clothes, orally and anally raped him and then made him walk the rest of the way home."

Billy fell apart and turned to heroin.

The report says Brennan knew Mark from the time he was 9. When he was 14, the priest arranged with Mark's mother for a sleepover. "Brennan showed him pornographic pictures on his computer, bragged about his penis size and insisted that Mark sleep together with him in his bed." Then the priest raped him as he cried, according to the report.

Mark also fell apart and attempted suicide.

Out of the church's many unpleasant confrontations with modernity, this is the starkest. It's tragically past time to send the message that priests can't do anything they want and hide their sins behind special privilege.

In Seth Williams's city, the law sees no collars, except the ones put on criminals. 

You talk of morality na utawala bora kwa wanasiasa wakati kanisa lako limegubikwa na kashfa kila kona. Kemea ouvu wa kanisa lako kwanza kabla hujaanza kuingilia mamlaka ya Kaisari.
blasphemy!!
 
March 15, 2011
Avenging Altar Boy
By MAUREEN DOWD Off Todays NYTimes.
PHILADELPHIA

The district attorney is burning a eucalyptus-spearmint candle on his desk.

“I think the press looks down upon the D.A. drinking Jack Daniels during the day,” R. Seth Williams says with a broad smile, “so I light my little stress-relief candle.”

It’s understandable if the former altar boy at St. Carthage in West Philly needs to light a votive. The 44-year-old Catholic, who still attends Mass with his family at the same church, now called St. Cyprian, is the first U.S. prosecutor to charge a church official for a sickeningly commonplace sin: Endangering children whom the Roman Catholic Church was supposed to protect by shuffling pedophile priests to different parishes where they could find fresh prey.

Williams, the first African-American elected district attorney in Pennsylvania, was an orphan given up by his unwed mother. He was put into two foster homes before he was adopted at 20 months old by a Catholic family.

“I grew up treating the hierarchy of the church kind of like rock stars,” he said in his 18th floor aerie, where he keeps a small iron crucifix and a cross fashioned from Palm Sunday fronds. “If you’re going to meet the cardinal, you’re supposed to kiss the guy’s ring, all this stuff. But it is what it is. I wish I knew the Latin translation for that.

“There’s no get-out-of-jail-free card for raping, sodomizing, groping, doing anything wrong to kids.”

Msgr. William J. Lynn, who served from 1992 to 2004 as the secretary of clergy reviewing sexual abuse cases for then-Cardinal Anthony Bevilacqua, appeared in court Monday. He is charged with felonies for allegedly helping the cardinal cover up molesters and transferring them to other parishes.

“It was a conspiracy of silence to ensure the church’s reputation and to avoid scandal,” said Assistant District Attorney Evangelia Manos.

Monsignor Lynn, a round, ruddy man in black priest’s garb, sat silently in court behind his two lawyers — paid by the archdiocese — as a cheering squad of priests and parishioners watched.

Lynn’s co-defendants sat beside him: a rabbity-looking Rev. James Brennan, 47, charged with raping a 14-year-old boy named Mark in 1996 in his apartment; and the unholy alliance of a priest, the sepulchral Charles Engelhardt, 64, a defrocked priest, Edward Avery, 68, and a former Catholic schoolteacher, Bernard Shero, 48 — all charged with raping or sodomizing the same 10-year-old altar boy 12 years ago.

Lynn’s lawyer, Thomas Bergstrom, told reporters that the charges against his client were “a stretch” and that he was pleading not guilty.

And Richard DeSipio, one of Brennan’s lawyers, went on the attack against his client’s accuser, now 29. “Their witness is in prison in Bucks County for stealing his sister’s credit card and using it,” DeSipio told Mensah Dean of The Philadelphia Daily News. “He’s a convicted liar.”

On a local radio show on Tuesday, Brennan — a priest suspended by the church in 2006 — said he was uninterested in a plea deal, and his lawyer continued to paint the accuser as troubled.

Even with a global scandal that never seems to stop disgorging disgusting stories, the Philadelphia grand jury report is especially sordid.

It tells the story of a fifth-grade altar boy at St. Jerome School given the pseudonym Billy. Father Engelhardt plied him with sacramental wine and pulled pornographic magazines out of a bag in the sacristy and told the child it was time “to become a man,” the report says.

A week later, after Billy served an early Mass, the report states that Engelhardt instructed him to take off his clothes and perform oral sex on him. Then the priest told the boy he was “dismissed.”

“After that, Billy was in effect passed around to Engelhardt’s colleagues,” the report says. “Father Edward Avery undressed with the boy, told him that God loved him,” and then had him perform sex. “Next was the turn of Bernard Shero, a teacher in the school. Shero offered Billy a ride home but instead stopped at a park, told Billy they were ‘going to have some fun,’ took off the boy’s clothes, orally and anally raped him and then made him walk the rest of the way home.”

Billy fell apart and turned to heroin.

The report says Brennan knew Mark from the time he was 9. When he was 14, the priest arranged with Mark’s mother for a sleepover. “Brennan showed him pornographic pictures on his computer, bragged about his penis size and insisted that Mark sleep together with him in his bed.” Then the priest raped him as he cried, according to the report.

Mark also fell apart and attempted suicide.

Out of the church’s many unpleasant confrontations with modernity, this is the starkest. It’s tragically past time to send the message that priests can’t do anything they want and hide their sins behind special privilege.

In Seth Williams’s city, the law sees no collars, except the ones put on criminals. 

You talk of morality na utawala bora kwa wanasiasa wakati kanisa lako limegubikwa na kashfa kila kona. Kemea ouvu wa kanisa lako kwanza kabla hujaanza kuingilia mamlaka ya Kaisari.
blasphemy!!
 
Kwa mujibu wa katiba tuliyo nayo sasa, Pengo si Mtanzania. Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili. Kwakuwa Pengo ni Kadinali moja kwa moja anakuwa raia wa Vatican state.

Ni kweli maanke Vatican ndiko wanakotoka wafipa!!
 
CCM 2011 NA MAKAMBI YAKE MBALI MBALI NCHINI

Hivi kati ya hizi CCM mbali mbali hivi sasa nchini, wewe ni wa kundi gani hasa hapa chini???

1. CCM- Uadilifu (Wazee wenzake na Mwalimu Nyerere ambao ni watulivu, wakomavu na masikini wa kutupwa kwa kuipenda sana nchi na wenye moyo kuitetea Tanzania).

2. CCM- Ufisadi ( Ni kundi dogo linalojiita Wanamtandao au kumbakumba wa kila dili / mchecheto wa kila senti irukayo hewani wenye utayari wa kuuza hata mtoto wake alimradi fedha ipatikane zaidi kufanyia kila aina ya uchafu unaoweza kufikiria; ni wale ambao mpaka hivi sasa wamepepetwana pembeni wasio na kitu na kubakia RA + EL).

3. CCM-Unguja (Chama cha Wazanzibara kama Vuai wa Kondoa na Hussein Mwinyi wa Kisarawe Umatumbini).

4. CCM-Yatima (Ni wale akina Sumaye, Kigoda, Mungai, banduka, Komanya, Ngulume, na wengine waliokua chini ya BWM).

5. CCM-Bongo Flava (Rizi1, Februari Ma-Ropes, Ndungai, Malisa, Nchimbi, ... hawa hawana hela ila kamsimamo wa uongo na kweli)

6. CCM-Mwandosya / Mangula (Kanda ya Juu Kusini)

7. CCM- Six/John Liquor Ma-Padlocks (Kanda ya Ziwa)

8. CCM- Two Coins Mramba / Mrema / Mbatia (moshi Vijijini)

9. CCM-Uislamu (Pwani/ Tanga / Mashariki na Pemba)

Sasa hapa mtu unapoongelea CCM ni sharti uwe makini sana sana na ijulikane kwamba unazungumzia CCM ipi hasa.

hahahahahahahahahahahahahahaahaahahahaha. makubwa kumbe sisiem iko hivyo. hahahahahahahahahahaahah:lol:
 
Kwa mujibu wa katiba tuliyo nayo sasa, Pengo si Mtanzania. Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili. Kwakuwa Pengo ni Kadinali moja kwa moja anakuwa raia wa Vatican state.

udini utawamaliza.
 
March 15, 2011
Avenging Altar Boy
By MAUREEN DOWD Off Todays NYTimes.
PHILADELPHIA

The district attorney is burning a eucalyptus-spearmint candle on his desk.

"I think the press looks down upon the D.A. drinking Jack Daniels during the day," R. Seth Williams says with a broad smile, "so I light my little stress-relief candle."

It's understandable if the former altar boy at St. Carthage in West Philly needs to light a votive. The 44-year-old Catholic, who still attends Mass with his family at the same church, now called St. Cyprian, is the first U.S. prosecutor to charge a church official for a sickeningly commonplace sin: Endangering children whom the Roman Catholic Church was supposed to protect by shuffling pedophile priests to different parishes where they could find fresh prey.

Williams, the first African-American elected district attorney in Pennsylvania, was an orphan given up by his unwed mother. He was put into two foster homes before he was adopted at 20 months old by a Catholic family.

"I grew up treating the hierarchy of the church kind of like rock stars," he said in his 18th floor aerie, where he keeps a small iron crucifix and a cross fashioned from Palm Sunday fronds. "If you're going to meet the cardinal, you're supposed to kiss the guy's ring, all this stuff. But it is what it is. I wish I knew the Latin translation for that.

"There's no get-out-of-jail-free card for raping, sodomizing, groping, doing anything wrong to kids."

Msgr. William J. Lynn, who served from 1992 to 2004 as the secretary of clergy reviewing sexual abuse cases for then-Cardinal Anthony Bevilacqua, appeared in court Monday. He is charged with felonies for allegedly helping the cardinal cover up molesters and transferring them to other parishes.

"It was a conspiracy of silence to ensure the church's reputation and to avoid scandal," said Assistant District Attorney Evangelia Manos.

Monsignor Lynn, a round, ruddy man in black priest's garb, sat silently in court behind his two lawyers - paid by the archdiocese - as a cheering squad of priests and parishioners watched.

Lynn's co-defendants sat beside him: a rabbity-looking Rev. James Brennan, 47, charged with raping a 14-year-old boy named Mark in 1996 in his apartment; and the unholy alliance of a priest, the sepulchral Charles Engelhardt, 64, a defrocked priest, Edward Avery, 68, and a former Catholic schoolteacher, Bernard Shero, 48 - all charged with raping or sodomizing the same 10-year-old altar boy 12 years ago.

Lynn's lawyer, Thomas Bergstrom, told reporters that the charges against his client were "a stretch" and that he was pleading not guilty.

And Richard DeSipio, one of Brennan's lawyers, went on the attack against his client's accuser, now 29. "Their witness is in prison in Bucks County for stealing his sister's credit card and using it," DeSipio told Mensah Dean of The Philadelphia Daily News. "He's a convicted liar."

On a local radio show on Tuesday, Brennan - a priest suspended by the church in 2006 - said he was uninterested in a plea deal, and his lawyer continued to paint the accuser as troubled.

Even with a global scandal that never seems to stop disgorging disgusting stories, the Philadelphia grand jury report is especially sordid.

It tells the story of a fifth-grade altar boy at St. Jerome School given the pseudonym Billy. Father Engelhardt plied him with sacramental wine and pulled pornographic magazines out of a bag in the sacristy and told the child it was time "to become a man," the report says.

A week later, after Billy served an early Mass, the report states that Engelhardt instructed him to take off his clothes and perform oral sex on him. Then the priest told the boy he was "dismissed."

"After that, Billy was in effect passed around to Engelhardt's colleagues," the report says. "Father Edward Avery undressed with the boy, told him that God loved him," and then had him perform sex. "Next was the turn of Bernard Shero, a teacher in the school. Shero offered Billy a ride home but instead stopped at a park, told Billy they were ‘going to have some fun,' took off the boy's clothes, orally and anally raped him and then made him walk the rest of the way home."

Billy fell apart and turned to heroin.

The report says Brennan knew Mark from the time he was 9. When he was 14, the priest arranged with Mark's mother for a sleepover. "Brennan showed him pornographic pictures on his computer, bragged about his penis size and insisted that Mark sleep together with him in his bed." Then the priest raped him as he cried, according to the report.

Mark also fell apart and attempted suicide.

Out of the church's many unpleasant confrontations with modernity, this is the starkest. It's tragically past time to send the message that priests can't do anything they want and hide their sins behind special privilege.

In Seth Williams's city, the law sees no collars, except the ones put on criminals. 

You talk of morality na utawala bora kwa wanasiasa wakati kanisa lako limegubikwa na kashfa kila kona. Kemea ouvu wa kanisa lako kwanza kabla hujaanza kuingilia mamlaka ya Kaisari.

My God! Which planet do you come from? Pengo is only responsible for the Catholic Church in Dar es Salaam not in the USA!
 
Nimependa sana ufafanuzi wako.

Lakini kama kweli Pengo angekuwa muadilifu na anachukia matendo hayo yanayofanywa na Mapadre na maaskofu wa kanisa lake sio tu Tanzania bali dunia nzima lakini sababu ni kutoka thehebu lake la Katoliki hivyo kuharibu sifa ya kanisa lake BASI ANGEJITOA NA KUJUUZULU KANISA HILO ima afungue la kwake kama Kakobe au awe kama Ndugu na rafiki yangu kipenzi Padre Privatus karugendo au awe kama Dr Padre Slaa katika siasa.

Pengo huwezi kwepa hilo kama kweli muadilifu.

Mbona wewe hujahama Tanzania kwa vile kuna ufisadi na upojaji wa raslimali za nchi bila huruma? Ina maana ukiona wizi unatendeka mahali hutasema kwa vile baadhi ya viongozi wako wa serikali au hata raia wenyewe ni waovu? Hutaweza kuzungumzia umaskini wowote nchi yeyote kwa vile Tanzania ni maskini? Watu wote wangekuwa wanafikiri kama wewe kusingekuwa na maendeleo yoyote duniani.
 
Nafikiri MM kuna mengi ametaka kufunika katika mada yake. Ina maana hajui kama mapadre wengi wana vimada wamewapangishia mitaani. Na wengine wana watoto kabisa ambapo ni kinyume cha nadhili waliyofunga.

hayo yapo kila pahala na Dar yapo pia.

Pengo alikuwa na kazi kubwa kusafisha boriti kwenye kanisa lake kabla kufikiria kuondoa ya wananchi wote.
Let's imagine kuwa, umegundua kati ya watoto wako mmoja ni shoga, je utabariki ushoka au utaulaani tu licha ya kuwa mtoto wako pia ni shoga? Imagine pia ukagundua kuwa baadhi ya mtoto wako mwingine ni mwizi: utafanya nini - utabariki wizi au utaendelea kuulaani licha ya kuwa mtoto wako pia ni mwizi? Na utaongeaje kuhusu Mungu, ambaye ameumba binadamu wenye utashi wa kufanya mabaya na mema, je Mungu anafurahia maovu yanayotendeka duniani kwa vile ameshindwa kuyasafisha au angetaka binadamu waishi tofauti na maovu wanayotenda?
 
Back
Top Bottom