Card reader and bluetooth zinauzwa.

DOCTORMO

Member
Oct 21, 2010
42
6
Waungwana wa jamvi hili la vijana shupavu napenda kuwataarifu kuwa unaweza kupata card reader za 1slot na 4in1, pia tunazo external bluetooth zenye kusupport wireless internet connection from your mobile phone to your computer without using cable na tunazo zakawaida pia.
Utaweza kuwasiliana na wakala wetu aliyepo udom
thank u
 
Back
Top Bottom