Car wash za kwenye foleni dar

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
Wandugu hii kitu inakera tusaidia iondoke
2012-03-07 07.58.44.jpg 2012-03-07 07.59.09.jpg
 
Nyie ndio nawaonaga mko kwenye magari yenu, full kiyoyozi ila mmenuna kama nini sijui.

Acha na wenzio wapate pesa ya kula.
 
Ni ktu ya kawaida sana hiyo duniani, pitia pale Brazil, Colombia, Venezuela na hata Bolivia!
 
wengine wanakua chuma ulete...ile 200 unayompa inakomb kila kitu kwa wallet
 
shida yao wale ni ela tu ila kwa usafi wala hawasafish maana maji yao ni machafu looh
 
Back
Top Bottom