Malembeka Shija
Member
- Aug 25, 2010
- 55
- 0
"ngombe ni ngombe tu,so kila kitu kinachofanyika nchini ni ufisadi tu.....basi hata wewe kuandika hapa ni ufisadi.u dont ask kitu kinafanyaje kazi au kina manufaa gani wewe unaropoka tu.utaendelea kuwa ngombe"
Wakuu,
Nimetazama habari ITV, mabasi yote yaendayo mikoani kutokea Ubungo yanatakiwa yawe yamejiunga na CAR TRACKING SYSTEM hadi ifikapo 15.03.2011.
Je wakuu, hii CTS ina umuhimu upi kwa mabasi makubwa?
Na je itadumu kwa muda gani, ukilinganisha na amri zilizopita kama speed governer na mikanda ya usalama kwa abiria?
Je, si mradi wa mtu huu na mwendelezo wa ufisadi?