Car for sale - a better deal1

Bright

Member
Apr 9, 2010
67
0
It is in a very good condition and running efficiently; make: Suzuki Escudo V6; 2L (1998cc) Petrol engine, Five Seater; Automatic Transmission; Mileage 110,000 km (58,000 km when imported from Japan in July 2007); year of make 1996; single driver & owner in Tanzania; serviced regularly including parts change using genuine ones from Japan; accessories – ac, radio, pw, al, bullbar, ps, cl, etc.

Price USD 12,500 (Shillings based on sale day exchange rate) negotiable
Call on 0767 263 879; 0713 263 879; and/ or e-mail at hubertsh@hotmail.com Please serious buyers only.
 
Attachments

  • FOR SALE (2).doc
    88.5 KB · Views: 109
The car looks great, lakini beyu baba! hiyo pesa ukiongeza M2 tu unapata mashine kama hiyo ya mwaka 2001 sehem sehem!
 
The car looks great, lakini beyu baba! hiyo pesa ukiongeza M2 tu unapata mashine kama hiyo ya mwaka 2001 sehem sehem!

Tanzania unaweza kupata hata ya mwaka 2010 kwa bei hiyo. Ila biashara yoyote inategemeana na maslahi ya mtu. Usitazame mwaka tu. Kuna mambo mengi katikati. Kuna gari za mwaka 1979 bei yake huwezi kufananisha na ya H3 Hummer ya mwaka 2009. Ndio maana hatuendelei.
 
Hiyo kama si ya wizi basi kuna mtu kafa hapo!
 
Nafikiri kuna option ya kununua kwa shilingi, nimeweka USD kupunguza inflation.
 
Kuna vigezo vya kununua gari used kama mileage; year of first registration; number of owners; number of drivers; condition of engine and body - inside and outside; use - for tour, pulling cart, towing frequently; serviced regularly; parts change when its time is due. Testing is very important if you buy it within your country, region, district. Fuel economy inategemea ukanyagaji wa kichapusha mwendo, air cleaner, matairi, wheel alignment, mizigo uliyobeba, fuel filter, plugs, plug wires, injectors; if automatic, does ATF smell burning, syrup like colour? Does it jerk softly when engaged - forward and backward? Do you hear gear change - 2 to 3 and 4/5 to 3/4 at 30/40km per hour n.k.
 
Kwa Mtanzania wa kawaida ukimtajia USD haangalii mara mbili tangazo lako...tupende kutumia fedha za madafu plz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom