Captain wa meli iliyozama Nungwi yuko wapi?

NgomaNgumu

Senior Member
Nov 20, 2010
194
24
Ni vizuri tukaiga mifano mizuri hasa ktk mambo muhimu kama yale yanayohusu kupoteza maisha ya watu. Meli ilyozama Nungwi mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyekamatwa, kweli kwa hali hii tutafika?.

Angagalia captain wa boti Costa Concordia iliyozama ktk ufukwe wa Italy siku mbili tatu zilizopita yuko wapi. Hii ndio mifano ya kuigwa vingenevyo kila siku watu watachinjwa na malori, mabasi, meli na hata bodaboda. Kamata captain wa meli iliyozama Nungwi weka ndani maneno mengine baadae
 
Back
Top Bottom