Cantona Kuwani Urais Ufaransa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Imripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari leo kwamba mwanasoka nguli duniani Erick Cantona amejitokeza kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini Ufaransa
 
kama alishindwa kumvumilia mshabiki mmoja ataweza kuvumilia maandamano ya mamilioni wenye kudai haki?
akajifunze ukocha ndiyo fani yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom