Canon imageRUNNER ADV 6055 - error code

mja

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
310
64
JF,
nina photocopier yangu kubwa imageRUNNER ADV 6055, sasa ine waka kisha nikibonhyeza button ya copy (kwenye lcd screen ) inanipa error code: E000197-0006, nay idea what does this mean, naendelea ku-google lakini, bado sijapata jibu, may be one can direct me somewhere.

asante
 
ERROR CODE E00019 inaweza kumaanisha kwamba waste toner bottle imejaa ebu angalia kama imejaa empty alafu uone kama error itatoka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom