Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 228
Wakuu heshima mbele,k
wa wale wadau wa photography, ama cinematographers au lovers wa camera in general ama wadau wa nikon (a.k.a wapinzani), hatimaye Canon wametoa edition ya 6D, The Lightest and smallest full frame DSLR.
DSLR kwa wasioijua ina maana Digital Single Lens Reflex, imepishana na za wapiga picha wale wa zamani mtaani, wao walikuwa wanatumia SLR, bila D. Si unakumbuka walikuwa wanaweka mkanda, though still wapo ukipita mitaa ya Congo, wengi wanapigia passport size.
Okay back to the 6D.
Ifahamike kuwa kuna entry (toleo) kama 5D, 5D Mark II, na 5D Mark III - more than a number. afu kuna 7D (built to last kwenye mazingira hata ya jangwani)
Ujio wa 6D utawezesha wadau wa photography kupata bidhaa adimu kwa bei chee hasa ikizingatiwa kuwa na specs zifuatazo.
Hii kitu ina 20.2 Megapixels, na ni the first Canon EOS kuwa na WiFi, na pia ina GPS, so unatag picha na kushare unapopiga. Ina 11 point autofocus system (hapa achana na monster kama 5D mark III ambayo ina 61 autofocus points) ina 25,600 ISO, na pia ni Full HD. Image processor ni Digic 5+, na ina CMOS censor. frames per second si nyingi though, 4.5 si mbaya japo. kizuri zaidi ni kwamba hii ngoma unapata HDR (High Dyamic Range) photography. So unaweza kutengeneza wallpaper za kutosha kama huwa unazungukia bush.
Ni kwa uchache tu kwa sasa, wacha niendelee kufatilia nijue nini zaidi. Ila kumbuka kwamba hii ni bei rahisi zaidi ya 5DM3, au hata 1D x, huwezi fananisha. It is the lightest, the smallest and the cheapest of the Full Frame Cameras so far for the Canon family.