can x-lovers be friends?????????

Kwa malaya go ahead and be friend to your ex-friend. Maana lazima mtachapana tu si mlizoeana sana akalala kwako nawe ukalala kwake hivyo hisia zitawatuma kuchapana tena. hizo huwa ni excuse za malaya ili wapate kuchapana.
 
ahhh hapana ni kwamba achague past au present...kuna kijipanya kimoja nilitaka kukisajiri sasa kabla sijampa kibali cha kujiunga na timu ili nijue ntamchezesha namba gan et akaanza habari u knw beby lets go visit ma x...ooh she z ma frend ...oohh beby she z sick....nkamwambia wew unijui twend..kat kat ya folen nkafanya kudrop tu uyooo mpk keshokutwa ajui nafananaje....UO NI UONGO WA HALI YA JUU asilimia 1 ya 100 nmeona rafik angu mmoja ivi anamsaidia x wake tena uyo demu alimwacha jamaa kwa mbwembwe na akaenda kwa mwenye ela ili aolewe araka araka na sasa katupwa kaolewa kweli bt ni km ajaolewa ndo anataka kurud kwa jamaaa wkt ana gf mpya sasa anachofanya ni msaada tu wa apa na pale ....uyu ni mkweli cz najua afany maafa bt asilimia kubwa wengneo wanatafuta kurudiana...MIMI STAK UPUUZI HUU...ata msg ya hi nkikiuta nalianzsha tena panakuwa apatoshi....
 
Kweli kabisa...ila maandishi yako yanahitaji energy zaidi kuyasoma especially kwa wale tulioshuhudia bendera ya Mwingereza ikitelemshwa rasmi!
 
hahahaah sawa dark city nimekupata
ahhh asi unajua tena uswahilini uku atutumii viswahili vya bakita mara nyng ndo mana najisahau bt m sorryyy ntajitaidi kunyooooooosha maandish bin kiswahili!!!!
mliipandshaje bendera?
 
Yp, inawezekana, ila ujue kunauweekano mkubwa sana mkarudiana, au hata kama hamkurudiana basi ujue manweza jikuta mmekula tunda, na hi mara nyingi hamtatongozana ila tu itatokea manake hamwezi kusahau komplitily what used to hapen mlipokua wapenzi.
 
hahahaah sawa dark city nimekupata
ahhh asi unajua tena uswahilini uku atutumii viswahili vya bakita mara nyng ndo mana najisahau bt m sorryyy ntajitaidi kunyooooooosha maandish bin kiswahili!!!!
mliipandshaje bendera?

Dadangu, kuishi kwingi ni kuona mengi. Sisi bado tunaendeleza mila wakati nyie wa dot com mko mbele sana. Ni vizuri kama mtakuwa mnatukubaga kumbukaga ili hata miwani isije kupasuka!

Bendera ilipanda vizuri tu, si unakumbuka akina Comredi Nyirenda walivyowasha mwenge kule mlimani kwa akina Mangi? ....Yaani tumeona mengi eti...We fikiria toka akina na Kambarage hadi mtaalamu wa kucheka cheka sisi bado tupo tu.

Ubarikiwe mdogo wangu,

Maj. Gen DC (1947)
 
inawezekana kama hamkuachana vibaya....na pia itategemea mko katika hali ipi ili isiweze kuleta tatizo katika uhusiano mpya utakaokuwa nao.....ila watu wengi hawapendi kuwaona wapenzi wao wakiwa na mawasiliano mazuri na maex wao
Siku chache zilipita nilimwona wife akiongea na x wake nilipomwuliza kulikoni kajibu hawakuanchana kwa kwakungombana hii inamaana gani does it mean they are still friends, I have never talked to her now is a third day. the answer was too painful and all the feels about her almost have gone.
 
Pole sana ndugu yangu. Ni kitu kinachoumiza sana. Kwani anasema walikuwa wanaongelea nini hata kama hawakuachana kwa ubaya? Lazima wawe na kitu kinachowaunganisha hadi sasa. Nakushauri umsamehe ili ufuatilie kwa karibu sana. Kama wanalo jambo utajua tu.
 
Kweli kabisa...ila maandishi yako yanahitaji energy zaidi kuyasoma especially kwa wale tulioshuhudia bendera ya Mwingereza ikitelemshwa rasmi!

hahaha kweli kabisa mkulu DC, nanona ni style yake ya uandishi maana hata mi pia nimeshuhudia bendera ya mkolodi gavana Twinning ikishushwa sasa sema mapenzi yananifanya nisome tu manake pia it is entertaining kwa vistori anavochomekea huko kati, imagine kwenye foleni alifunguaje mlango wa gari akachomoka au alibanwa akasema anaenda ladies?
 
Dadangu, kuishi kwingi ni kuona mengi. Sisi bado tunaendeleza mila wakati nyie wa dot com mko mbele sana. Ni vizuri kama mtakuwa mnatukubaga kumbukaga ili hata miwani isije kupasuka!

Bendera ilipanda vizuri tu, si unakumbuka akina Comredi Nyirenda walivyowasha mwenge kule mlimani kwa akina Mangi? ....Yaani tumeona mengi eti...We fikiria toka akina na Kambarage hadi mtaalamu wa kucheka cheka sisi bado tupo tu.

Ubarikiwe mdogo wangu,

Maj. Gen DC (1947)
Sawasawa ndg yangu !
nimekupata ..ivi wakt mnapandsha bendera wa kucheka cheka alikuwa wap?darasa la pili?
 
hahaha kweli kabisa mkulu DC, nanona ni style yake ya uandishi maana hata mi pia nimeshuhudia bendera ya mkolodi gavana Twinning ikishushwa sasa sema mapenzi yananifanya nisome tu manake pia it is entertaining kwa vistori anavochomekea huko kati, imagine kwenye foleni alifunguaje mlango wa gari akachomoka au alibanwa akasema anaenda ladies?

mmh we kaizer toka zako ..dunian umekuja mwaka 1974 ...sasa iyo bendera uliishuhudia wap?
au bendera ya chausta maendeleo?
valeur ipo leo?
 
LOL habari ndo hiyo...ningemsomaje mkulu DC apo juu? nilikuwa maji lakini bado nikaona hii hoja hii imesema ukweli....wewe hata habari ya 'duka la kaya' umeisoma vitabuni eeh? hahahahah

Chaust=chama cha ustawi wa jamii....mi nipo ISC bana umesahau au membership yako imeexpire?

Goodmorning Rose*
 
hahhahhahaaaaaa we mwongo habari za duka la kaya umesimuliwa na royaroy!!!!!
tangue mvnpk apo nkakupge supu bwana!!!!!!
 
Rose we huyo ni Sec gen wa chama chatu....ndo unamuaddress uivyo kwani mmetoka tumbo moja:jaw: Duka la kaya sio wa kusimuliwa....nimekuwepo kunga Dark City aje hapa atoe ushuhuda jinsi tukipanga foleni...sukari kilo moja tu sio zaidi, sabuni kipande kimoja, etc
Apo pengine poa mi ntajua nitakachokupiga nacho...of course ur favourite eeh:A S thumbs_up:
 
kwaiyo kutaka kusemaje labda apo pa roy sjazaliwa nae tumbo moja?roy asi ni mtakatifu jaman?kwan ana madhara yeyote kwa bnadamu eva?mbona kuntisha bwanawewe?
utanchapa na nini wewe?mintakuchapa kwa maombi tu utashndwa na kulegea mwenyewe!!!!!!!
 
hahaha hapo nadelegate kwa katibu St Roya Roy atakujibu veema kabisa

sasa kama unataka kujua kama RR ana madhara au la.....tena kwa eva....hebu jaribu....:A S thumbs_up:
 
mmh mi chichemi!!!!!!
 
It depends what has separated them in the fisrt place? otherwise it is practically possible.
 
Back
Top Bottom