can women and men be friends?

Umebanwa siyo!? lol! Haya bana :):)

Urafiki ni kusaidiana wakati wa Shida.

Sasa kama "nimebanwa" then haunisaidii ndo mpango gani huo??


Unaweza ukanisaidia tu kama best yako na tusiwe wapenzi!!
 
BAK, Erro anawaza DUDU??

Umenikumbusha enzi za kinguo nguo.
 
Last edited by a moderator:
BAK, Erro anawaza DUDU??

Umenikumbusha enzi za kinguo nguo.

We angalia "sredi" zote zilizoanzishwa na ERO, mara kateguka bega kwa kunanihii, mara picha ya kunanihii na X wake imemletea kasheshe na mupenzi mupya,
 
Urafiki na Erotica!!!! Saa zote anawaza DUDU tu hahahah lol! (ushahidi angalia threads zilizoanzishwa na ERO wa JF) kamwe hauwezekani hasa ukitilia maanani Erotica kaumbika katika kila kona ya mdada ambayo huwa ina mvuto sana kwa wanaume walio wengi.

I know BAK, Sometimes it is so damn hard being this hot and sexy! mwaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
...Beautiful, hot and sexxxy Erotica :):)
2214546_f260.jpg



I know BAK, Sometimes it is so damn hard being this hot and sexy! mwaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ni complicated, mdada anaweza kuzani ni urafiki tu kumbe mkaka anawaza mengine kabisa. Naungana na hao wakaka kwamba haiwezekani.
 
BAK,

Hii kitu ni ngumu sana, kwani mwanamume ambaye kila idara yake imekamilika hawezi kufanya huo mchezo wa kisanii kama hao wadada wanavyofikiri!!

Na hao wanawake sijui wanafikiria nini??

Ndiyo maana huwa nawashauri dada/wadogo/wajukuu zangu kuogopa kila mwanamume kwani huwezijua ni muda gani shetani atamjaza upepo na kumfanya a-strike!

Labda watoto wadogo tu ndio wanaoweza huo mchezo kwani akili yao haifikirii ubaya wowote!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mimi nilishalijua hili, na huwa ninawaambia dada zangu hakuna urafiki wa kawaida kati ya mvulana na msichana waache kujidanganya!
 
Urafiki unaeza kuwa sana tu..it depends wewe unamchukulia vipi,personally i do have male friends(as far as my mind can go) but sijui wao wananichukulia vipi..as long as they treat me right(as friends) am good
 
Urafiki unaeza kuwa sana tu..it depends wewe unamchukulia vipi,personally i do have male friends(as far as my mind can go) but sijui wao wananichukulia vipi..as long as they treat me right(as friends) am good

nakubaliana na wewe.... inawezekana sana tu so long as you both are committed to keep it that way
 
Its a case by case issue. Naweza kusema hell yes, lkn most men want to be friends with hidden benefits na nishaona some sisters wa aina hiyo pia. Sincerely unaweza tu kutaka kuwa a friend lkn huwezi juwa the other person. Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia men and women to be just friends the guy has to be gay as never ever will he be attracted or develop feelings for u. My take its a 80/20 kind of thing.
 
mi nashangaa, kuna baadhi siwezi urafiki nao kabisa lazima nimfanye kitoweo kuna wengine hata room moja tunalala na bafu tunashare lakini always they will be my friends nothing more.

Daaah, same here!
 
Back
Top Bottom