Can we Learn to Love Someone?

yes indeed Gaga huwa nakupenda bure dada yangu uwe na usiku mwema.....let love lead the way.. Teamo
Wanawake weeengi huwa wanapenda wakiwa tayari na mtu then inaongezeka maradufu wanapoendelea kuwa pamoja, sababu mwanaume anakuja na kukutamkia wakati tayari either kakupenda kabisa au kakutamani tayari, wewe mwanamke unaanzia pale

Mhh kwahiyo wanawake wengi huwa wanaanzia from no love at all mpaka love...?,
Lakini ni kweli nadhani upendo wa dhati huwa unatokea baada ya muda (ukiachana na tamaa za hapa na pale..) na ukimpa mtu chance, kama ana tabia nzuri na ni mtu mwema basi baada ya muda utampenda, (kutokana na ule ukaribu na kuzoeana) ingawa siku hizi watu hawapeani muda wanabase mapenzi yao kwenye vitu vya kupita...

ni kweli kabisa unaweza kujifunza kumpenda mtu from the scratch na ikawa great love, sio kila mtu anakuwa na love at the first site

VOR... Yes you can learn to Love someone.... Kuna mtu mwingine ukimuona at first glace unasema "Hell NO!!" But with time... You fall in Love...

unataka kujifunza kupenda nini? Naona umetukumbusha ya kale.

We can learn to love some one.but love is feeling that u feel for some one.u learn to feel for some one but u cant expect it to last long,some day u may find true feelings for one one else natural and live the one who u learnt to love.u can learn to love some one but dont expect it to last long.

Ni kweli kama bibi na babu zetu waliweza enzi zile za arranged marriages kwahiyo na sisi hatushindwi ila ni kwamba siku hizi, watu hawaipi chance hili jambo kutokea, usipomfanya ageuze shingo for real hautapata opportunity ya kumuonyesha hizo hidden qualities ambazo kila mtu anazo.

Kuna factors nyingi saana behind those marriages which made them succeed.... apart from the falling in love on the process (thou we have to agree kua not all fell); VOR.... hata sasa hivi watu hawalipi chance for pande zoote za i.e gals and guys wanna haraka na mambo yoote kwa pupa... This falling in love in time yahitaji patience... yahitaji uelewa... yahitaji acknowledgement ya the other person kua s/he is good (and free i should add). Hivo naamini kabisa wapo wachache wenye bahati ambao wanafanikiwa and they do live happily....

Hivi unaweza kujifunza kumchukia mtu.

Ndio... mbona hio ipo hata hapa JF... Sababu wewe Husny ni rafiki yangu... na kuna member haelewani na wewe... basi na mimi kwa kukosa bursara ama ustaarabu... ama utashu wa kupima what is right or wrong... naaanza na mimi kumchukia yule member... Inachekesha kweli yaani... mtu wa namna hio in real life anatia huruma saana for ina maana walo mzunguka ndio huendesha maisha yake....

Ashadii,inawezekana kweli ivi unamchukiaje mtu usiyemjua nikianza kukuchukia Ashadii kama Ashadii nisiyemfahamu humu ndani natumia vigezo gani?

Mhh kwahiyo wanawake wengi huwa wanaanzia from no love at all mpaka love...?,
Lakini ni kweli nadhani upendo wa dhati huwa unatokea baada ya muda (ukiachana na tamaa za hapa na pale..) na ukimpa mtu chance, kama ana tabia nzuri na ni mtu mwema basi baada ya muda utampenda, (kutokana na ule ukaribu na kuzoeana) ingawa siku hizi watu hawapeani muda wanabase mapenzi yao kwenye vitu vya kupita...
VoRni kweli wengi wetu tuna learn kupenda wakati libeneke lishaanza then tunakuja kupenda hasa, wakati huo kijana anaanza kupunguza

Ashadii,inawezekana kweli ivi unamchukiaje mtu usiyemjua nikianza kukuchukia Ashadii kama Ashadii nisiyemfahamu humu ndani natumia vigezo gani?

ha ha ha... Chauro... you are a very happy person...lol... basi unafikiri woote hivo hivo... be good na endelea hivo dear... for it is good....

You can learn to love someone, after initial introduction, getting along is something that someone chooses to do, you may discover very adorable characteristics in your lover and this can increase your love, you also must make efforts to keep your love aglow, if we want to be the best couple for our lover we must learn to love him/her and we can understand about him/her

Ashadii,inawezekana kweli ivi unamchukiaje mtu usiyemjua nikianza kukuchukia Ashadii kama Ashadii nisiyemfahamu humu ndani natumia vigezo gani?

Haiwezekani kabisa nakama ikitokea hivyo yakupasa ujue akili yako haipo sawa, yani akili yako itakuwa haina akili. Kumchukia mtu ni mchakato!

Ashadii,inawezekana kweli ivi unamchukiaje mtu usiyemjua nikianza kukuchukia Ashadii kama Ashadii nisiyemfahamu humu ndani natumia vigezo gani?

chauro kama ambavyo unaweza kumpenda mtu usiyemfahamu humu nafikiri inawezekana kumchukia pia, pengine mimi na wewe hatuwezi ila inawezekana.

Ndio... mbona hio ipo hata hapa JF... Sababu wewe Husny ni rafiki yangu... na kuna member haelewani na wewe... basi na mimi kwa kukosa bursara ama ustaarabu... ama utashu wa kupima what is right or wrong... naaanza na mimi kumchukia yule member... Inachekesha kweli yaani... mtu wa namna hio in real life anatia huruma saana for ina maana walo mzunguka ndio huendesha maisha yake....

ukiacha mfano wa humu. Ikitokea umempenda mtu na umejitahidi kadsi uwezavyo ila yeye hakupendi, utajifunza kumchukia au?

ukiacha mfano wa humu. Ikitokea umempenda mtu na umejitahidi kadsi uwezavyo ila yeye hakupendi, utajifunza kumchukia au?

Mimi naamini kama kweli mtu umempenda... kama yeye hakupendi you have to understand kua sio chaguo lake... na moyo ukielewa hivo... you let go thou ukawa bado wampenda...

Tena to take this a step further (sio kwa mwenza tu hata kwa mtu baki...) tunaweza kutumia msemo wa Abraham Lincoln aliposema "I destroy my enemies when I make them my friends." Kwahio kama tukiwasamehe waliotukosea na kuwapenda wanaotuchukia the world will be a better place

Back
Top Bottom