Can we Learn to Love Someone?

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Kila mtu ana good qualities na bad qualities, kwahiyo kama ni kweli mtu unaweza ukajifunza kumpenda mtu kwa ku concentrate kwenye mazuri yake, Je is it not wise kutafuta mtu anayekupenda kwa dhati nawe ukajifunza kumpenda kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.

Kupenda ni mazoea am sure ukimzoea mtu lazima kuna attraction itatokea so long as you have something in common. Aint it great to know that someone will die for you... even if she/he hakuwa your first Choice. Kumbuka "love at first sight is just physical attraction" and love is more than that..
 
You are quiet right bro,tatizo ni kuwa watu ni wagumu sana kujifunza kupenda ila ni wepesi sana kujifunza kuchukia na nashindwa kuelewa kama mtu anaweza kufundishwa/kujifunza chuki anashindwa vipi kujifunza kupenda?
 
Kila mtu ana good qualities na bad qualities, kwahiyo kama ni kweli mtu unaweza ukajifunza kumpenda mtu kwa ku concentrate kwenye mazuri yake, Je is it not wise kutafuta mtu anayekupenda kwa dhati nawe ukajifunza kumpenda kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.

Kupenda ni mazoea am sure ukimzoea mtu lazima kuna attraction itatokea so long as you have something in common. Aint it great to know that someone will die for you... even if she/he hakuwa your first Choice. Kumbuka "love at first sight is just physical attraction" and love is more than that..

Tatizo kubwa ni usanii wa hali ya juu katika mapenzi. Unaweza kuyaamini maneno ya mtu kwamba anakupenda kwa moyo wake wote lakini kumbe maneno hayo hayana maana au uzito wowote kwa huyo ayasemayo. Hata mapenzi nayo yameshachakachuliwa.

Kabisa Bubu! Usanii wa hali ya juu unatawala mapenzi. Unakuta mtu anakudanganya au anakuibia afu ukimbamba bado ata profess kuwa anakupenda na umsamehe eti aliteleza tu na yadi yadi yada lukuki. Ama kweli usanii rules...
 
Kila mtu ana good qualities na bad qualities, kwahiyo kama ni kweli mtu unaweza ukajifunza kumpenda mtu kwa ku concentrate kwenye mazuri yake, Je is it not wise kutafuta mtu anayekupenda kwa dhati nawe ukajifunza kumpenda kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.

Mkuu,

Can we Learn To Love Someone?????

Yes, you can, ….. yes, we can!

Umejiuliza suali zuri kabisa! Yamekufika nini, mkuu ?
Je umepitia hapa?.....kuliko kumforce asiyekupenda ili akupende.

Kila kitu kinawezekana mkuu, kama bado uwezo wa kujifunza unao ni afadhali ujifunze kumpenda akupendae, huyo anayekusumbua waachie wenzako! Watamshugulikia halafu atarudi kukutafuta. Akirudi kama umefanikiwa katika kujifunza kupenda na wewe unatia nyodo..

Kama una “will” ya kujifunza bandugu ni bora ujifunze hata kama ni kwa mwendo wa jongoo.

Good luck!
 
enzi zangu za ubrazamen,nilikuwa na kidemu ambacho nilikuwa naamini kinanipenda saaana,lakini baada ya muda nikagundua kuwa kinaligawa tunda,maugomvi yakawa kila siku...siku moja babaake na huyu demu akanikuta nyumbani kwake,tukaongea saaana...akaniambia neno moja ambalo sijalisahau na sintolisahau...huyu mzee akaniambia ''MTIMTI..MWANAUME AKIMPENDA MWANAMKE KWA DHATI BASI MWANAMKE ANAEPENDWA ATAJUA,LAKINI MWANAMKE ANAWEZA AKAWA HAKUPENDI ILA AKAJIFANYA ANAKUPENDA ILI UMTIMIZIE MAHITAJI YAKE NAWE USIGUNDUE
 
Nonda yuko right mnooooooooooooooo................................................
 
Ukweli mtupu...unaweza kujifunza kupenda!Unahitaji kuwa open-minded na ku-do away with all the prejudices.Kupenda ni uamuzi tu na ukishafanya huo uamuzi nature will always provide enough reasons to keep you in that path...it has been a personal experience...unampenda mwanamke anakuwa analinga and there goes another lady that is dying to be with you.

Basi akili inakaa sawa na unaamua kumpa nafasi this other lady that loves you and learn to love her back.It works!Na sasa nafurahia maisha!
 
kujifunza ni kuzuri sana wazeee maana mwanamke akikupenda(i mean yaleyale)yani umeshamnasa vibaya mno anakuwa na heshima na utiii ila ukimlazimaisha ndo ishu.
soooooo lets men learn to love by concider the good things tht hs been done by anayependa wa ngosha mulimoooooo:teeth:
 
Wewe unaweza kujifunza kumpenda je yeye anakupenda? Wanaume cause ndio walioanzisha uongo katika mapenzi ndio wameambukiza wadada. Mbaba akishakutamani atatumia uongo wote aliofundishwa na mababu zake mpaka akupate so wababa msilalamike mmeanzisha wenyewe
 
Ni kweli, unaweza kujifunza kumpenda mtu(refer my thread; when a wrong one loves you right). tatizo lililopo ktk ulimwengu wa leo ni nafsi zetu wanaume/wanawake kupiga kura ya kutokuwa na imani na wapenzi wetu hata kabla ya kuwa nao, tunatupiana lawama kila kukicha ........mara wanaume wako hivi, mara wanawake wote matapeli........... Ndugu zangu wanajf lazima tukubali kuwa mapenzi ni sawa na sarafu ina pande mbili(ke/me) lakini ni moja(uanadamu), kuharibika kwa upande mmja ni kuondoa thamani ya sarafu hiyo so wote lazima mshirikiane, muwasiliane vyema na muwe tayari kujitolea na kujifunza kuhusu mapenzi na mahusiano mema ktk kudumisha mapenzi hayo, uwazi na shukrani kwa kila upande kwenda kwa upande mwingine ni jambo la msingi......... kifupi mapenzi ni kutendeana na si kutendewa, kama unataka kupendwa basi anza wewe kupenda, kwa maana huwezi kupokea bila kutoa( Unapofikiria kumbadilisha mwenzio au wenzio anza kubadilika wewe kwanza). Tukiendelea kulaumiana hivi hatutafika kokote na ndio kwanza tunazidi kuchukiana na kuchukulian baridi mwisho wake leo ndio tunaona ushoga na usagaji unashamiri. The best formula ni hii........ USIPOPATA ULIPOPENDA , BASI PENDA ULIPOPATA.
 
Tunaweza kujifunza kupenda ila kwa ushawishi.
Kama nataka mtu anipende nina kazi ya kumshawishi kwa vitendo na sio kwa maneno kama wengi mnavyofanya. Sio kila siku una kazi ya kupiga simu na msg za i love u kibao.
Fanya mambo yatakayomvutia.
Hakuna wanaopendana kwa level sawa lakini matendo yao yanapoenda sawa tunaconclude kuwa wana mapenzi sawa.
Kwa upeo wangu wasichana ni rahisi kujifunza kupenda kuliko wanaume.
Bora nimfate anayenipenda nijifunze kumpenda.
 
tunaweza kujifunza kupenda ila kwa ushawishi.
Kama nataka mtu anipende nina kazi ya kumshawishi kwa vitendo na sio kwa maneno kama wengi mnavyofanya. Sio kila siku una kazi ya kupiga simu na msg za i love u kibao.
Fanya mambo yatakayomvutia.
Hakuna wanaopendana kwa level sawa lakini matendo yao yanapoenda sawa tunaconclude kuwa wana mapenzi sawa.
Kwa upeo wangu wasichana ni rahisi kujifunza kupenda kuliko wanaume.
Bora nimfate anayenipenda nijifunze kumpenda.

tatizo letu ni kujaribu kufanya majaribio ktk mapenzi mwisho wake inakula kwetu
 
Tatizo kubwa ni usanii wa hali ya juu katika mapenzi. Unaweza kuyaamini maneno ya mtu kwamba anakupenda kwa moyo wake wote lakini kumbe maneno hayo hayana maana au uzito wowote kwa huyo ayasemayo. Hata mapenzi nayo yameshachakachuliwa.

Kabisa Bubu! Usanii wa hali ya juu unatawala mapenzi. Unakuta mtu anakudanganya au anakuibia afu ukimbamba bado ata profess kuwa anakupenda na umsamehe eti aliteleza tu na yadi yadi yada lukuki. Ama kweli usanii rules...

LAKINI MWANAMKE ANAWEZA AKAWA HAKUPENDI ILA AKAJIFANYA ANAKUPENDA ILI UMTIMIZIE MAHITAJI YAKE NAWE USIGUNDUE

Ndugu zangu wanasema "Actions Speaks Louder Than Words" Hapa naamanisha kujua kama kweli mtu anakupenda sio maneno tu ni matendo...... Kwa matendo yake atakuonyesha kuwa kweli anakupenda kwa dhati.

Pia wanasema eyes (macho) na uso never lies, kama mtu anakupenda sana kuna tabasamu atakalokupa au uso utakapokuwa bright kila anapokuona. Kuna tell tell signs utajua tu.
 
Tunaweza kujifunza kupenda ila kwa ushawishi.
Kama nataka mtu anipende nina kazi ya kumshawishi kwa vitendo na sio kwa maneno kama wengi mnavyofanya. Sio kila siku una kazi ya kupiga simu na msg za i love u kibao.
Fanya mambo yatakayomvutia.
Hakuna wanaopendana kwa level sawa lakini matendo yao yanapoenda sawa tunaconclude kuwa wana mapenzi sawa.
Kwa upeo wangu wasichana ni rahisi kujifunza kupenda kuliko wanaume.
Bora nimfate anayenipenda nijifunze kumpenda.

Wanawake huchukua muda mfupi sana kupenda kwa dhati, mwanaume mara nyingi huanza uhusiano kwa kutamani
 
Back
Top Bottom