Can Tanzanians afford democracy by the book?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Meaning...kama kuna matatizo kwenye any elections....kurudia rudia elections?kwa sababu uchaguzi unaghalimu fedha nyingi?
 
ukishakubali kwamba uchaguzi ni muhimu, then by-eletions are priceless.

Kama unaona kurudia rudia chaguzi ni gharama, basi ondoa chaguzi zote kabisa.
 
Achaneni na hiyo representative democracy,fanyeni athenian democracy ya kina Plato!!
 
Achaneni na hiyo representative democracy,fanyeni athenian democracy ya kina Plato!!

Kweli dada ziko nyingi tu tunaweza ku-practise, lakini nani wa kutupeleka huko?

Tunadesa kila kitu, yaani system zetu za siasa zisipokuwa sawa na 'western au eastern' basi ni kama vile hatuishi duniani.
 
Back
Top Bottom