Can Men and Women Be Friends?

kama huwezi kumsaidia kwa wakati huo urafiki unakufa? huo sio urafiki! inaweza kutokea mtu ukawa na rafiki wa karibu sana kuliko hata ndugu yako, mpo pamoja kwenye shida na raha, kusaidiana pale panapohitajika na mambo mengineyo, kwenye maisha kuna misuko suko mingi kuna wakati unahitaji mtu/rafki wa karibu sana wa kuweza kushauriana nae! hapo sasa ndio mtu ucpokuwa na umakini wa kuchagua ma frnds mtaishia kuleteana uswahili kila kukicha.

sawa nyama yao nimekuelewa,au labda mantiki yako sijaielewa vizuri,kwa hiyo unaitimisha kua hakuna urafiki bila msaada?
 
yeah mi nakusaidia na wewe inabidi unisadie tunaita fadhila kule kwetu Pemba lazima urudishe fadhila bana utaangalia mwenyewe kama ni mwanamke utaangalia mwanaume anataka nn.
haya ndo mambo nayokutana nayo kwa kila ninayejaribu jenga urafiki naye
 
...urafiki gani huo bila kutegemea kusaidiana kwa lolote? ndio maana pakawa na kamsemo;

"a friend in need is a friend indeed!"
 
Kutokana na maisha nayoishi nakutana na aina mbalimbali za watu,imekua kama urafiki unajengwa kwa dhumuni maalum! na inapotokea hata hilo dhumuni lisipokamilika ujenzi wa urafiki wafa,hii si kwa jinsia tofauti hata jinsia moja naona hili tatizo lipo,naombeni mawazo yenu jinsi gani naweza pata rafiki ambaye yuko neutral kwenye mahusiano yetu,au haiwezekani?

Thanx

Kifaru,

Soma hii extract hapa chini. Nina imani itakusaidia japo kiasi.

Friendship is co-operative and supportive behavior between two or more people. In this sense, the term connotes a relationship which involves mutual knowledge, esteem, and affection and respect along with a degree of rendering service to friends in times of need or crisis.

Friends will welcome each other's company and exhibit loyalty towards each other, often to the point of altruism. Their tastes will usually be similar and may converge, and they will share enjoyable activities. They will also engage in mutually helping behavior, such as exchange of advice and the sharing of hardship.

A friend is someone who may often demonstrate reciprocating and reflective behaviors. Yet for many, friendship is nothing more than the trust that someone or something will not harm them.

Value that is found in friendships is often the result of a friend demonstrating the following on a consistent basis:
In a comparison of personal relationships, friendship is considered to be closer than association, although there is a range of degrees of intimacy in both friendships and associations. Friendship and association can be thought of as spanning across the same continuum.
 
Yeah hii ndo nipe nikupe upate kitu kitamu.....juzi nimetishiwa kuachwa na nyumba ndogo nimeinyima hela! nikamwambia sasa inabidi tubadili system uwe unaniudhia tu ili kuondoa lawama napo kuhitaji nitodhe gharama zako unanipa huduma kisha tunamalizana.

Du!..Umepinda mzee...?

Sasa vipi inakwendaje? uMESHAMLAMBA TOKA MKUBALIANE

KUTOZANA MAHELA?

Sa itakuwaje siku yeye ndo ana hamu? Atakulipa?
 
@$#!$##@%$#%$^%*&^(*&)(*)(*)_

Mambo mengine . . . hata hayaeleweki . . . Hebu inase hii . . .

Source: The Sex Buddy Gaining Popularity | NowPublic News Coverage

Sex buddy is a guy/girl who you have dated before. But somehow things didn’t take off well but the sex was great. So when you want to have a steamy session, you call them. FB is your normal everyday friend who gets extra benefits. Many people consider this form of relationship to gratify their physical needs until they find someone special. This arrangement is meant to be extremely casual, low-key, low-investment and no-maintenance.

As in every relationship, things happen when both parties agree on the same rules.

· Sex Buddy cannot be your boyfriend or girlfriend.

· This relationship is not possible if one of the partners are looking for happily ever after scenario as this kind of relationship is just for fun.

· Those who are sensitive and emotional in nature shouldn’t get into such kind of arrangement.

· This is ideal for those who what no frills attached relationships, footloose and fancy-free.

· People in “no strings attached” relationships should never hold hands in public, send each other text messages the morning after. If this is done, then the other partner will believe you are in love with him/her and that will ruin the relationship.

· Avoid discussing family, personal triumphs and disappointments.

· No going for movies together or giving each other affectionate nicknames.

Sex Buddy relationship can be long-standing as long as both partners are on the same wavelength. This relationship is just for passionate, steamy sex and nothing else should be expected out of this.

Wadau: Nini maoni yenu kuhusu hili bandiko?
 
mimi naona kama vile ni mawazo ya kipindi kile cha sodoma na gomora............sema mungu anatustahi tu kwani aliweka ahadi ya kutoangamiza ulimwengu....kama unabisha angalia juu ya mawingu utaona upinde.....huo unamkumbusha mungu juu ya ahadi yake.....sasa embu esabu ni mara ngapi umeona......ndo utafahamu kuwa dunia imeisha
 
Mkuu;

Kweli dunia inabadilika kwa haraka sana . . .

Kama mabadiliko ya ICT yanavyotokea kwa haraka, mabadiliko ya tabia za watu na jamii hali kadhalika.

Swali ni kuwa tutaishia wapi?
 
Mkuu;

Kweli dunia inabadilika kwa haraka sana . . .

Kama mabadiliko ya ICT yanavyotokea kwa haraka, mabadiliko ya tabia za watu na jamii hali kadhalika.

Swali ni kuwa tutaishia wapi?

Mambo ya G8 hayo . . . .
 
mimi naona kama vile ni mawazo ya kipindi kile cha sodoma na gomora............sema mungu anatustahi tu kwani aliweka ahadi ya kutoangamiza ulimwengu....kama unabisha angalia juu ya mawingu utaona upinde.....huo unamkumbusha mungu juu ya ahadi yake.....sasa embu esabu ni mara ngapi umeona......ndo utafahamu kuwa dunia imeisha

...na kweli, mambo yale yaliyohubiriwa miaka elfu kadhaa yamerudi kwa kasi na kwa uwazi,...

matendo ya ulawiti na usagaji, kubaka watoto wadogo, ngono na mke/mume wa mtu, yamekuwa mambo ya kawaida tu katika jamii...

next; ngono baina ya wanafamilia; kaka na dada yake, baba na bintiye, mama na mwanae, ...kuna wataobisha, lakini tayari yeshaanza kujitokeza haya.
 
Ni kama vile kwenda kubeba malaya mtaani ukamlipa haina tofauti...

Swadakta, tena hapo kunakuwa na heshima pia malengo yenu wote ni sawa, maana kwa malaya mwenzako anakuwa anafikiria pesa wakati wewe unakula utamu.
 
Swadakta, tena hapo kunakuwa na heshima pia malengo yenu wote ni sawa, maana kwa malaya mwenzako anakuwa anafikiria pesa wakati wewe unakula utamu.

Nani kasema mwenzako hapati utamu, sema mnakulana utamu !
 
...na kweli, mambo yale yaliyohubiriwa miaka elfu kadhaa yamerudi kwa kasi na kwa uwazi,...

matendo ya ulawiti na usagaji, kubaka watoto wadogo, ngono na mke/mume wa mtu, yamekuwa mambo ya kawaida tu katika jamii...

next; ngono baina ya wanafamilia; kaka na dada yake, baba na bintiye, mama na mwanae, ...kuna wataobisha, lakini tayari yeshaanza kujitokeza haya.

Neno la Mungu linasema katika siku za mwisho maasi yataongezeka. Hivyo ndugu yangu ni bora umrudie Mungu wako usije ukaangamie
 
mi naona hiyo poa kama hamsumbuani na kama mnaridhishana poa, kwani ktk mahusuano matatizo ni pale yanapoanza ooh hujanitumia hiki,nataka hela, ooh hujafanya hili etc, yote hayo km hayapo swadakta!!
 
mi naona hiyo poa kama hamsumbuani na kama mnaridhishana poa, kwani ktk mahusuano matatizo ni pale yanapoanza ooh hujanitumia hiki,nataka hela, ooh hujafanya hili etc, yote hayo km hayapo swadakta!!

Hapo umenena binamu, maana mahusiano ya kufuatana fuatana hayana raha tena yanpoteza muda tu, mimi nadhani kabla mtu hajaamua kuoa na kama hawezi kuacha kufanya matusi hii ni njia sahihi ya kuifuat.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom