Can Men and Women Be Friends?

Hakika hiyo goal utazidi isogeza mpaka uzeeke halafu watu wakushangae eti mechi uzeeni!.. ha ha
Nitafute mpaka unione, usije kuwa unachat na njemba bure!.Uchanganyikiwe
hii goal mbona pas de probleme alafu inaweza isitekelezeke maisha haya bora niwe kama nilivyo.....nitakutafutia wapi wakati hata PM zangu huzijibu....
 
Babu na wewe ni mmoja wa wale wanaoamini kuwa mwanaume na mwanamke wakiingia chumbani basi wanakwenda kutenda tendo la ndoa?
aaaah mzee mzima siamini kila wakati lakini mhhhhh mihemko mkuu na labda hujakutana na figa figali ambazo kila wakati unazitamani......
 
Nimeshawahi kuwa na best friend mwanaume, si unajua maana ya best friend! Tunashare stories,kusaidiana kimawazo/kiuwezo,kuwa partners kwenye hafla mbalimbali kama weddings maana tupo single wote na outingz zingine muda mwingine ila kila mtu alikuwa na mpenzi wake. Guess where we ended....

...in bed?!

..ila we are still best friends mpaka sasa!..No harm

...u-best umezidi?

Hebu nambie Belinda, nani aliyeanza uchokozi mpaka mkaishia *****? hivi sasa unajisikiaje kushindwa kwenu, mpaka ikabidi kuvuka msitari toka urafiki -mapenzi -urafiki?
 
Usinichekeshe mbu!..siwezi kumsingizia wala kujisingizia maana tulitokea kupata mhemko fulani kwa kilichotokea na hamna aliyemlaumu mwenzie japo haikuwa dhamira ya best friends kufikia hapo..
Kushindwa kwetu najisikia vibaya kiaina pia things will never be the same kama vile kuwa huru kutoa stori fulani japo urafiki hauishi. Halafu kwasasa kuna distance,so ni mawasiliano tu!..
 
Mangi, hakuna lisilowezekana,...

nishapiga mbonji chumba kimoja na rafiki yangu (demu), tena si mara moja wala mara mbili bila 'kudandiana'. hata paleanapokuwa keshakolewa na 'togwa', nilichukulia kuwa ni responsibility yangu kum care mpaka atapokuwa sober.

Kujizuia ni ushindi mkubwa kuliko kuvunja urafiki kwa 'fataki' ya dakika chache, ...na mpaka leo 'demu' ananipa 100/100 ya uaminifu! :)

Mbu, kama ni kweli uko vizuri na you are really a man! Uanaume si kulala-lala hovyo na wanawake; uanauke si kulala-lala hovyo na wanaume; sifa kuu ya mwanamume/mke ni kuweza kujistahi na kuji-control na kushinda tamaa zako na si kuwaka tamaa kila unapomuona mwanamke/mwanaume.

Urafiki ni uaminifu na kuchukuliana, kusaidiana, na kutiana moyo na si ku-take advantage over your opposite sex friend ati kwa uwa ana matatizo au yuko single!
 
mapenzi ya kweli,huanza na URAFIKI!uzoefu umethibitisha kwamba wapenzi ambao before WALIKUWA MARAFIKI wana possibility kubwa sana ya kudumu kwa muda mrefu,ikibidi hata kuoana.

Sasa swala la URAFIKI WA 'JUST FRIENDS'katika jinsia mbili tofauti NI NGUMU KUPINDUKIA.I will explain now,
.................Kati yenu wawili kuna mtu lazima atakuwa na hisia za ngono.Jasiri aliweka wazi,na mwoga atakaa kimya tu.tHIS IS FROM THE BIOLOGICAL POINT OF VIEW!ukubali usikubali.ni ngumu sana kujustfy urafiki wa kawaida kati ya jinsia mbili tofauti,LABDA UWEZDE KUJUA HAWA WATU VICHWANI MWAO WANAWAZA NINI.

Ukiwa na mtoto wako,wakike au wa kiume,akileta mtu wa jinsia tofauti na yeye,akakutambulisha..........MAMA HUYU NI RAFIKI YANGU TU....sina uhakika kama hilo swala litaishia hapo tu,anyways MI SIMO BWANA
 
Hapa tunapiga soga tu na kuburudishana. Ukweli ni kuwa urafiki wa kwenda deep hivyo, kushare issues; matatizo, furaha, etc.... Unfortunately sex is one of those to be shared.

Tatizo la urafiki wa namna hiyo lazima there is chemistry. Mwanamke ambaye mtaelewana vizuri kwa nje hata deep inside mtaelewana. Wengine insurance waliyo nayo ni wooga.

Hata ukiwa na mwanamke unatetemeka na huwezi sema chochote. Lakini ukweli sii kwamba ni urafiki tu na kujiheshimu eti ndio kunawafanya msiparamiane.

Ni kuheshimu hiyo mipaka ya rabi. Kuwa karibu zaidi ya hapo, is and will always be a recipe for danger. Ngono tena unprotected itawavamia siku moja!!
 
Usinichekeshe mbu!..siwezi kumsingizia wala kujisingizia maana tulitokea kupata mhemko fulani kwa kilichotokea na hamna aliyemlaumu mwenzie japo haikuwa dhamira ya best friends kufikia hapo..
Kushindwa kwetu najisikia vibaya kiaina pia things will never be the same kama vile kuwa huru kutoa stori fulani japo urafiki hauishi. Halafu kwasasa kuna distance,so ni mawasiliano tu!..

...haha ha,....nyie mlikuwa mnatamaniana, mmoja wenu akazidiwa!....:D

Mbu, kama ni kweli uko vizuri na you are really a man! Uanaume si kulala-lala hovyo na wanawake; uanauke si kulala-lala hovyo na wanaume; sifa kuu ya mwanamume/mke ni kuweza kujistahi na kuji-control na kushinda tamaa zako na si kuwaka tamaa kila unapomuona mwanamke/mwanaume.

Urafiki ni uaminifu na kuchukuliana, kusaidiana, na kutiana moyo na si ku-take advantage over your opposite sex friend ati kwa uwa ana matatizo
au yuko single!

...sawa sawa Ibrah, " a shoulder to cry on!". Bahati mbaya wanawake wakiwa kwenye Grief, wanakuwa na very low self esteem, pia maamuzi yasiyo sahihi... ndio maana mijanaume isiyo na huruma inachukulia advantage hiyo kuwarubuni !

mapenzi ya kweli,huanza na URAFIKI!uzoefu umethibitisha kwamba wapenzi ambao before WALIKUWA MARAFIKI wana possibility kubwa sana ya kudumu kwa muda mrefu,ikibidi hata kuoana...

...nakataa! Kama kusudio ni urafiki, atabakia rafiki. Kama unataka uchumba hilo ni suala jingine. Huwezi 'kutembea' na kila anayetaka urafiki nawe, au? Jamani, ni tamaa gani hiyo?

Hapa tunapiga soga tu na kuburudishana. Ukweli ni kuwa urafiki wa kwenda deep hivyo, kushare issues; matatizo, furaha, etc.... Unfortunately sex is one of those to be shared...

...Anyway, mimi ni mmoja wa aliye na marafiki wa opposite sex. Naheshimu mipaka ya urafiki. Siwezi kutembea na kila mwanamke sababu tu anataka urafiki (i.e kaka na dada) na mimi.
 
ukweli ni kwamba urafiki utakuwepo ila ni wa mashaka na wa upande mmoja, yaani kama mwanaume atamchukulia mwanamke kama rafiki, kwa mwanamke sivyo, & vice versa. Ni sawa na urafiki kati ya chui na kondoo. lazima kuvutiwa kutakuwepo ila mmoja atashindwa kusema kutokana na sababu flani flani, ila urafiki hakuna, aisee!
 
...'Mchukulie' Rafiki yako (wa opposite sex) ni mke wa rafiki yako! ...Bado tu utaendelea kutamani kumla uroda?
 
Usinichekeshe mbu!..siwezi kumsingizia wala kujisingizia maana tulitokea kupata mhemko fulani kwa kilichotokea na hamna aliyemlaumu mwenzie japo haikuwa dhamira ya best friends kufikia hapo..
Kushindwa kwetu najisikia vibaya kiaina pia things will never be the same kama vile kuwa huru kutoa stori fulani japo urafiki hauishi. Halafu kwasasa kuna distance,so ni mawasiliano tu!..

I like the open way you discuss issues.
 
urafiki wa mwanamke na mwanaume hauwezekani, huwezi weka chuma na sumaku karibu kisha zisikamatane, nakumbuka nilijaribu kufanya hivyo ikashindikana ikawa kila rafiki yangu nam-mega, tatizo linakua jinsi rafiki(wa ukweli zaidi) yako anavyochukulia matatizo yako kwa umakini hata kama ni wa jinsia moja ndivyo apasavyo mwandani wako kufanya hivyo, unavyomuelezea rafiki wa jinsia tofauti tatizo na anavyolichukua kwa huruma unaona kwa nini asiwe huyu? watu hawafahamu lakini nguzo kubwa ya upendo ni huruma, huwezi kua ndani na mtu asiye na huruma kisha rafiki yako anahurum ukamwache inakua ngumu kumeza mazee
 
Umemaliza kila kitu!
 
...'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba', ukishakuwa na roho nyepesi lazima ushindwe mtihani huu (urafiki wa jinsia tofauti)
 
Mangi, hakuna lisilowezekana,...

nishapiga mbonji chumba kimoja na rafiki yangu (demu), tena si mara moja wala mara mbili bila 'kudandiana'. hata paleanapokuwa keshakolewa na 'togwa', nilichukulia kuwa ni responsibility yangu kum care mpaka atapokuwa sober.

Kujizuia ni ushindi mkubwa kuliko kuvunja urafiki kwa 'fataki' ya dakika chache, ...na mpaka leo 'demu' ananipa 100/100 ya uaminifu! :)

Well, inategemea yeye yukoje, maana asije akawa anakupa 100/100 ya ujinga badala ya 100/100 ya uhaminifu
 
urafiki wa mwanamke na mwanaume hauwezekani, huwezi weka chuma na sumaku karibu kisha zisikamatane, nakumbuka nilijaribu kufanya hivyo ikashindikana ikawa kila rafiki yangu nam-mega, tatizo linakua jinsi rafiki(wa ukweli zaidi) yako anavyochukulia matatizo yako kwa umakini hata kama ni wa jinsia moja ndivyo apasavyo mwandani wako kufanya hivyo, unavyomuelezea rafiki wa jinsia tofauti tatizo na anavyolichukua kwa huruma unaona kwa nini asiwe huyu? watu hawafahamu lakini nguzo kubwa ya upendo ni huruma, huwezi kua ndani na mtu asiye na huruma kisha rafiki yako anahurum ukamwache inakua ngumu kumeza mazee

Nadhani yote hii inategemea na kuji-control mwenyewe. Inabidi uji-control mwenyewe. Mwanamke au Mwanamme anaweza akakuvutia lakini inabidi uhakikishe unatenganisha Rafiki na Mpenzi. Mvuto wa Mwanamke au Mwanamme sio lazima uwe wa Kimahaba. Mvuto mwingine huwa ni kwa ajili ya heshima tu - unamweshimu mtu hadi unavutiwa nae. Lakini yote hii inabidi uwe na self-control.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom