Can I Please come in?

Ntandalilo

Member
Mar 15, 2011
96
1
Habarini jamani!

Mimi mwenzenu ni mpya naomba kuingia humu ndani niungane na kushirikiana na ninyi katika kuijenga na kuitetea nchi na taifa letu kwa ujumla.

please msinitenge ndugu zangu.
 
karib sana. hapa utakutana na maselebriti kibao for example husninyo a.k.a kungwi la mbagala, michelle a.k.a kocha wa kiduku, lizzy almaarufu malkia wa segere, katavi a.k.a rashid matumla, keren happuch mwanawe job, ze finest a.k.a sharobaro chokambaya, CPU a.k.a tozi la porini, uporoto1 a.k.a lawyer bila ofisi, bila kumsahau wiselady a.k.a receptionist nakazalika wengine. kwa niaba yao nasema karib sana
 
Back
Top Bottom