Can Fragile Opposition Defeat CCM?

Kiranga,
Ni mara ngapi umesikia wapinzani wakiitisha tuwe na katiba mpya? Majibu ya CCM yamekuwa ya jeuri kwa sababu wanajua kuwa wana monopoly bungeni. Ni mara ngapi masuala ya kitaifa yanapoletwa bungeni unasikia wabunge wa CCM wakiitwa kuwekwa sawa? Ni mpaka hapo jeuri ya CCM itakapovunjwa ndipo tutaweza kuwa na level playing field. Tuwape wapinzani moyo kwa kujitosa uwanjani ingawa tunajua playing field si level badala ya kukaaa nje tu na kulalamika. Hopefully baada ya uchaguzi wa 2010 monopoly ya CCM itakuwa kwishne.

Jasusi,

Monopol ya CCM itaisha siku Upinzani ukiaccha biashara za kusema "Hewala Bwana, Yarabi Toba". Gloves have to come off for any change to take place. Kwani hii Coalition of Unwilling Zanziar imetokana na nini? Si watu wa CUF kuweka ngangari na ngunguri na damu ikamwaika ndipo CCM ikainama kwa aibu?

There are many options that oposition could use to change the landscape one of it is ti cease to be dependent of Serikali, abstain from Uchaguzi kwa kugomea na kuandamana, kususia vikao vya Bunge zim na si siku moja au mbili bali the enotire session na ikilazimu viti vyao vifutwe, let Serikali and AG do tat and incur additional expenses huku Wafadhili wakionyeshwa udhalimu wa Serikali ya CCM kwa kutumia FFU na jeshi eti kunyamazisha opposition.

THere is only option, Bob Mlei alisema total destruction is only solution!
 
Back
Top Bottom