Mara nyingi huwa tunachanganya baina ya urafiki, mapenzi na matamanio.
1. Urafiki wa kweli ni jambo takatifu na linapaswa kulindwa kama lilivyo.
2. Ikiwa kuna mapenzi, subirini hiyo itakuja wenyewe, mtashangaa yalianzaje.
3. Katika aina nyengine ya urafiki, ule ambao haujafikii hatua ya urafiki wa kweli, ikiwa mtakubaliana, mnaweza ku-do bila ya masharti wala ahadi, ingawaje hii ngumu kidogo kwani uzoefu unaonesha mmoja anaweza kudai zaidi ya makubaliano ya awali.