Can any African first lady be this???

zayat

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
337
42
BABU KUBWA!!!!

This quite a challenge on us Africans
Would any other First Lady have chanced it?
 
Huku ni kumuhusudu mtu kuliko pitiliza; sasa naona tunaelekea kwenye kumuabudu kabisa.....................waht so special about her? tunafanya comparison tukiangalia vipimo gani jamani?

Hebu tuachane na kasumba na uzumbukuku!

Lets get real! arrrrghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
it is just the matter of choice. hapo anachokifanya ni publicity tu for the benefit of her husband. na wa kwetu huanzisha vi-ngo ili kuwarubuni wanawake kwa tumitaji twa nyanya.
 
Mrs Gbagbo alipokamatwa

MrsGbagbo.jpg
 
hata wa kwetu angefanya hivi tungemhusudu vilevile. ila kwa vile sie tumejikita zaidi na kutengeneza pesa ndani ya vipindi vyetu vya uongozi, ndo maana tunaishia kuchekesha kwa cheki za ajabu ajabu. si unajua kauli mbiu yetu ni hapendwi mtu hapa ni pesa tu!
 
kwani ni wa wap huyo? hayo mazoez anayofanya ndo yanamfanya awe so special au kuna jingine?
 
article-1383261-0BE45DA500000578-104_634x654.jpg


MACHEZO YA NAMNA HII HUASHIRIA KUWA MAMA ANACHEZA FUTIBOLI GANI?



001.JPG

HIVI HAWA WANAWEZA KURUKA HATA NUSU FUTI?
 
Hawa jamaa waliomkamata mke wa Bagbo hawakumbaka kweli,mbona wanaonesha ni watu wasio wavumilivu kama vile walishamalizana naye ndiyo wakapiga picha.
 
Back
Top Bottom