Can a Genius be made through his/her environments?

Cdhani kama mazingira yana influence mtu kuwa genius some how mazingira magumu yanafanya akili ikomae na kuwa imechangamka leo hii tunaona Kiasi gani Nikola Tesla alipoiweka dunia kwa upande wa electricity ametokea familia ya chini tu but he was very bright
 
Kwa namna flani mazingira yanaweza kuchangia mtu kuwa genius.

Inapotokea kunauhitaji wa kitu flani cha muhimu sana na namna ya kukipata ikawa ngumu basi hapo uwezo wa akili huwa unakuwa juu sana.

Mfano mdogo, Njaa..! Hiki ni kipimo cha ku-survive, unapokuwa na njaa then no easy way to get food itakubidi akili yako ifanye kazi tu the beyond zaidi ya uwezo wake ili upate chakula na uweze ku-survive.

Naweza kuyagawa mazingira yanayochochea u-genus katika namna mbili..

1. Supportive Enviroment
2.Non supportive Enviroment

Supportive Enviroment ni yale mazingira ambayo hayakubani kutumia akili zako ila ni wewe mwenye kuzi-force kufanya kazi zaidi ya limit yake kutokana na kupenda kitu au vitu flaniflani ambavyo unajishughulisha navyo.

Non Supportive Enviroment ndo kama vile No way out you have to be genius to survive.

Inaendeelea......
 
Since it is said that Intelligency is inherited from one trait to another, well do you guys think a genius can be made through his or her environment?
just like spies, being genius is a function of one's surrounding environment that feeds one's mind plus one's genetic makeup that is inherited

i think i have made it clear for you
 
Kwa namna flani mazingira yanaweza kuchangia mtu kuwa genius.

Inapotokea kunauhitaji wa kitu flani cha muhimu sana na namna ya kukipata ikawa ngumu basi hapo uwezo wa akili huwa unakuwa juu sana.

Mfano mdogo, Njaa..! Hiki ni kipimo cha ku-survive, unapokuwa na njaa then no easy way to get food itakubidi akili yako ifanye kazi tu the beyond zaidi ya uwezo wake ili upate chakula na uweze ku-survive.

Naweza kuyagawa mazingira yanayochochea u-genus katika namna mbili..

1. Supportive Enviroment
2.Non supportive Enviroment

Supportive Enviroment ni yale mazingira ambayo hayakubani kutumia akili zako ila ni wewe mwenye kuzi-force kufanya kazi zaidi ya limit yake kutokana na kupenda kitu au vitu flaniflani ambavyo unajishughulisha navyo.

Non Supportive Enviroment ndo kama vile No way out you have to be genius to survive.

Inaendeelea......
Mwaka wa tano huu bado hujaendelea ulipoishia...
 
Back
Top Bottom