CAN 2012 Taifa Stars itaenda?

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
The teams were drawn into eleven groups of four teams (except group K after Togo added in) each and will play each other on a round-robin basis. The winners of each group will qualify for the finals, group K will seed two winners instead as well as the two best second placed teams.

Equatorial Guinea and Gabon qualify automatically as co-hosts.

Below are the details of the draw:
Group A – Cape Verde, Mali, Liberia, Zimbabwe
Group B
– Nigeria, Madagascar, Ethiopia, Guinea
Group C
– Mozambique, Libya, Zambia, Comoros
Group D
– Algeria, Tanzania, Morocco, Central African Republic
Group E
– DR Congo, Senegal, Mauritius, Cameroon
Group F
– Mauritania, Burkina Faso, Gambia, Namibia
Group G
– South Africa, Niger, Egypt, Sierra Leone
Group H
– Cote d’Ivoire, Rwanda, Benin, Burundi
Group I
– Sudan, Congo, Swaziland, Ghana
Group J
– Guinea Bissau, Kenya, Uganda, Angola
Group K
– Tunisia, Botswana, Chad, Malawi, Togo

Swali: Je tutavuka Algeria na Morocco ??????????????
 
Watavuka iwapo wata-invest several million dollars on team development rather than paying to play one-off game against brazil.
 
Group D – Algeria, Tanzania, Morocco, Central African Republic
Group E
– DR Congo, Senegal, Mauritius, Cameroon

Group E ni kundi la kifo. Tz tunayo kazi kubwa sana, tusipokuwa makini tutakuwa wa mwisho kwenye kundi. Kocha mpya lazima awe na mbinu za hali ya juu. Nidhamu na kujituma kwa wachezaji lazima kuwe kwa hali ya juu sana. Hao waarabu wa Algeria na Morocco wanaweza kutugeuza asusa kama hatutakomaa.

Maximo alijitahidi sana mpaka tuliweza kuwachachafya akina Cameroon. We should go on and discover winning metality but how?
 
hakuna kinachoshindikana chini ya jua,wagumu sana morocco,hao algeria mara nyingi kwa nchi za afrika mashariki na kati wanakuwa wepesi wao wanawapania waarabu wenzao,eg mliona kwa malawi kule angola,na tulishawahi kuwapiga 2-1 mwaka 1995/96 kugombea kwenda south africa tulikuwa nao egypt,sudan,uganda na ethiopia pia,tulishinda zote nyumbani,ugenini tulipoteza zote,misri pekee ndio alitufunga nyumbani na ugenini,hadi kama mnakumbuka ndolanga akamlaumu mwameja na kusema hatoruhusu achezee taifa stars labda asiwepo fat enzi hizo,kwahiyo inawezekana,penye nia pana njia,na tukifanya vizuri tunaweza kuwa hata 2 bora,tusifanye uzembe kama mwaka juzi kufungwa na msumbiji nyumbani tukakosa kwenda ghana.
 
Haya yote yatawezekana endapo 'soka la maneno' tulichezalo kwa wingi litabadilika na kuwa la matendo zaidi lenye hamasa ya Utanzania.
 
Tukitaka tuende 2012 lazima tuanze mikakati ya kupata wachezaji leo (June 2010), sio tusubiri 2011
 
tunahitaji kocha wa kueleweka, na wachezaji waandaliwe mapema...jalamba liwe limeshaanza sasahivi hadi mwaka huo kufika tuwe pazuri. sio mtu unatoa kiingilio halafu baadaye unajilaumu bora ungelinunua nyama ule pengine ungefaidi kuliko kuangalia watu wakihangaika kufukuza mpira kama hawana kocha....
 
Frankly speaking mimi naona hatufiki popote, tutaishia kuomba mechi za kirafiki na wenzetu wanaoenda CAN na WC.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom