Cameroon wa Uingereza naye si shoga?

Nchi inayokimbiza kwa uchumi kwenye nchi za EU ni Germany, and most of the politicians ni mashoga.

Tanzania wanasiasa wanajidai sio mashoga lakini akili zao ni zero bora hata ya hao mashoga wanasiasa wa ulaya waliojitangaza na wanapiga kazi sana na nchi zinasonga mbele.

Huwezi kumlinganisha "shoga" Cameroon na vilaza wanasiasa wa hapa bongo wanaojidai sio mashoga.....damn.
 
sio lazima tuishi maisha ya kishenzi kama wao. kwani lazima tufanye ufirauni wafanyao ndio maendeleo yanakuja? mcheni MUNGU.
 
kama wameshazoea kupigana miti wao bac waendelee 2 kupigana miti,wac2letee habari za kisenge cc cyo kama wao.
 
Back
Top Bottom