CAMERA ya Mwangosi iko wapi?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
sitaki kuwakumbusha wadau juu ya mauaji ya kikatili juu ya Mwangosi bali ni kutaka kuhoji na kufaham kwa kirefu zaidi....nauliza sasa CAMERA YA MWANGOSI IKO WAPI? pengine tungeweza ona mengi
 
Sasa camera yake ya nini? Unaacha kuulizia watoto na mke wake wataishi vipi au wasaidiwe nn wewe unawaza camera ambayo hairudishi uhai wala nn? then hiyo camera itakusaidia nn ambacho hukujui au hujakiona. Si yote umeyaona kwenye picha na kuyasikia au kuna lingine jipya
 
NADHANI LABDA AMEULIZIA KAMERA kwania ya upatikanaji wa ushahidi kwa kile kilichorekodiwa kwenye kamera hiyo!
 
Ushahidi gani tena wa zaidi ya yalionekana . Hadi askari aliyemuua kaonekana na wote waliokuwepo wameonekana kwenye picha
 
Back
Top Bottom