Taz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 304
- 158
Kuna miji ya ulaya michafu, asikwambie mtu. pamoja na urahisi wa manispaa wa kuzoa taka, unakuta kuna kitu hakijakaa sawa, mji umejaa taka kila kona. Mfano mdogo tu ni mji wa newyork ambapo rat population = 4 times human population. pata picha hapo (Rats in New York City - Wikipedia, the free encyclopedia). But you got a point, it was just a wrong example I think.mdogo wangu Excellent, haya usicompee kabisa tena hapo kwenye teknolojia angalia tu mambo ya kawaida ambayo hayaitaj technonogy kama usafi wa mazingira mtu tu kutupa karatasi ama chupa ya maji popote pale ni kawaida na hapo hapahitaji wala utaalam kama ho.nafikir ishu ni mental equip