Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,114
Ili labda nifafanue zaidi. Zifwatazo ni movies zilizotengenezwa miaka 50 iliopita Hollywood.
Cleopatra
Lawrence of Arabia
Dr. No
Goldfinger
The Good,the Bad and the Ugly (I like this)
For a few dollars more
The time Machine
e.t.c.
Niambieni ni movie gani ya kibongo kwa sasa inakaribiana kwa "ubora" wa uigizaji na upigaji picha. Acha movie ya kibongo hata ya nollywood?
Pointi yangu ni kwamba sisi hatuwezi jilinganisha movie zetu na wenzetu kwasababu wengi wetu hatuvutiwi au ku relate na scene za wenzetu. Hivyo tunaishia kutengeneza movies utafikiri ni maigizo kwenye stage.
Hapo kwenye Dr NO na GOLDFINGER wacha masihara, ni movie za miaka hiyo lakini ukiiangalia maujanja yake lazima uwe mpole tu, watu wanatengeneza movie bwana. Sasa sisi bongo mmm.