Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

Je tutafika?angalia camera ya Ray na vifaa vyake halafu fananisha na wenzetu

Mkuu Excellent, tatizo letu Bongo si camera, bali ni ubunifu -- kutaka kutengeneza movies "kubwa" kwa camera ndogo. Wangeweza kutengeneza movies nzuri tu kwa vifaa walivyonavyo.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni Ray The Greatest akiwa kazini
552555_10150905695557000_350022780_n.jpg
aisee nimecheka mpaka mihogo imenipalia du tz bado sana miaka mia mbele
itakuwqa ngumu sana kufika huko
nahisi yesu atarudi atukute hapahapa
 
khaaaa yaani hili kamera linatakiwa lifungwe kwenye tume ya uchaguzi 2015 maana litaonyesha hadi jinsi wanavotaka kuiba kura akina Mwigulu
 
mdogo wangu Excellent, haya usicompee kabisa tena hapo kwenye teknolojia angalia tu mambo ya kawaida ambayo hayaitaj technonogy kama usafi wa mazingira mtu tu kutupa karatasi ama chupa ya maji popote pale ni kawaida na hapo hapahitaji wala utaalam kama ho.

nafikir ishu ni mental equip
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba. Movie za kina ray ndio zinapendeka na wananchi wetu. Hizo ndio filamu zetu! Wewe tengeneza movie ya kibongo kwa USD 100 mill halafu ray atengeneza ya 10,000 USD tu halafu mzilete sokoni muone ipi itanunuliwa zaidi?

Mimi nimeona kwa ndugu zangu wengi. Nilikua na tafakari sana wanazipendea nini movie za kibongo.

Wakati script ni weak, scenes ovyo, shooting hazina tofauti na kipaimara, story line ni zile zile. (mapenzi, kuteswa, kisasi). Ni kaja kurealise these "movies" ndio zina reflect maisha yetu.

Hivyo tuna relate zaidi na hizo kuliko akina matrix, avatar au inception.
Hebu imagine a swahili version of inception!! hahaha. Asilimia ngapi ya sisi wabongo tutarelate to that!
 
mdogo wangu excellent, haya usicompee kabisa tena hapo kwenye teknolojia angalia tu mambo ya kawaida ambayo hayaitaj technonogy kama usafi wa mazingira mtu tu kutupa karatasi ama chupa ya maji popote pale ni kawaida na hapo hapahitaji wala utaalam kama ho.

Nafikir ishu ni mental equip

kweli ishu ni mental equipment, watu waburudike, waelimishwe, wahabarishwe.
 
Ili labda nifafanue zaidi. Zifwatazo ni movies zilizotengenezwa miaka 50 iliopita Hollywood.
Cleopatra
Lawrence of Arabia
Dr. No
Goldfinger
The Good,the Bad and the Ugly (I like this)
For a few dollars more
The time Machine
e.t.c.

Niambieni ni movie gani ya kibongo kwa sasa inakaribiana kwa "ubora" wa uigizaji na upigaji picha. Acha movie ya kibongo hata ya nollywood?
Pointi yangu ni kwamba sisi hatuwezi jilinganisha movie zetu na wenzetu kwasababu wengi wetu hatuvutiwi au ku relate na scene za wenzetu. Hivyo tunaishia kutengeneza movies utafikiri ni maigizo kwenye stage.
 
Bongo mpaka tuwafikie labda mwaka 2089.
dah mkuu mbona huko mbali sana



Mel gibson yupo mbali sana hata movies zake nyingine kama passion of christ,lethal weapon ziko safi.wenzetu wapo mbali kuanzia story,script,screen play,directing,acting,custumes na vingine viingi.

Cha muhimu watanzania waliopo kwenye movie industry wasome ili wawe professional kuna wachache wanajitajitahidi kuipeleka next level mfano george tyson(director),bishop hiluka(script writer and editor) na mtu wa sauti young elie chansa.

Wanigeria wamekamata multichoice na dstv ukitazama m-net,big brother africa,na vipindi vingi utakuta jamaa wapo kwa wingi na wanajaza contents zao na kupromote 100% naija mfano ik presenter wa big brother africa (alichukua nafasi kutoka kwa msouth africa kabello na anaendelea kuvutia)mkurugenzi wa m-net africa mwanamama,jamaa wengi kwenye directing na professional consultancies katika m-net.
So watanzania tunaweza pia cha muhimu kuzidi kukazana.
ila sometimes hata kama teknolojia ndogo wabongo tunazembea sana,mbona kuna movies za nigeria hazina quality ila zinanoga
 
Mimi naamini tutafika huko kote na tutafanya makubwa zaidi na watakao tufikisha huko sio Ray, JB, Wema, Wolper ama nyota mwingine yeyote yule aliyeko kwenye tasnia ya filamu Tanzania hv sasa, bali ni vijana wengine kabisa watakaoamua kuingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na utayari ya kujifunza, kusoma vitabu mara kwa mara, kufanya kazi wakiwa na nia ya dhati kabisa kuteka na kujulikana kwenye soko la kimataifa nasio kuangalia tu soko la "Mbagala"!
mkuu hata hawa kina Ray wanaweza kuleta mabadiliko,tatizo they are not well organized,we unadhani wakitafuta makampuni ya nje basi hata kenya na nigeria wakashirikiana wasiweze kusogea mbele?
 
duh hii movie naipenda ingawa inahitaji moyo kuiangalia haswa jinsi wanavyouana..............ila waliniacha hoi pale yule mama alipojifungulia kwenye maji..........hivi inawezekana kweli?
my dia mi nadhani ile utaalam tu wa shooting na bwembwe zingine,in really life haiwezekani
 
Tatizo sio vifaa ila ni ujuzi na ubunifu wa kuvitumia...

Camera hii hii unayoiona kuwa hafifu ukimpa Steven Spielberg au James Cameron watakutengenezea blockbuster movie kali kabisa kwa kutumia camera hiyo hiyo..
Mkuu bongo utasemaje,actor yeye,mtunzi yeye,mtengeneza video yeye kila kitu yeye
 
The pursuit oh happyness by will smith
 

Attachments

  • MV5BMjE3MjMwNzQwOF5BMl5BanBnXkFtZTcwMjE1NjYyMw@@._V1._CR79,0,1889,1889_SS100_.jpg
    MV5BMjE3MjMwNzQwOF5BMl5BanBnXkFtZTcwMjE1NjYyMw@@._V1._CR79,0,1889,1889_SS100_.jpg
    2.9 KB · Views: 158
Mkuu Excellent, tatizo letu Bongo si camera, bali ni ubunifu -- kutaka kutengeneza movies "kubwa" kwa camera ndogo. Wangeweza kutengeneza movies nzuri tu kwa vifaa walivyonavyo.
Mkuu unajua since mpaka leo hatujafikia kiwango cha ile movie ya 'Gods must be crazy" ya siku nyingi sana ila ukiangalia ya kawaida tu hata mazingira yapo simple ila ubunifu wa hali ya juu

itakuwqa ngumu sana kufika huko
nahisi yesu atarudi atukute hapahapa
mdogo mdogo tutafika tu
 
khaaaa yaani hili kamera linatakiwa lifungwe kwenye tume ya uchaguzi 2015 maana litaonyesha hadi jinsi wanavotaka kuiba kura akina Mwigulu
tume huwezi kuzuia watachakachua tu mkuu


Ukweli ni kwamba. Movie za kina ray ndio zinapendeka na wananchi wetu. Hizo ndio filamu zetu! Wewe tengeneza movie ya kibongo kwa USD 100 mill halafu ray atengeneza ya 10,000 USD tu halafu mzilete sokoni muone ipi itanunuliwa zaidi? Mimi nimeona kwa ndugu zangu wengi. Nilikua na tafakari sana wanazipendea nini movie za kibongo. Wakati script ni weak, scenes ovyo, shooting hazina tofauti na kipaimara, story line ni zile zile. (mapenzi, kuteswa, kisasi). Ni kaja kurealise these "movies" ndio zina reflect maisha yetu. Hivyo tuna relate zaidi na hizo kuliko akina matrix, avatar au inception.
Hebu imagine a swahili version of inception!! hahaha. Asilimia ngapi ya sisi wabongo tutarelate to that!
Mkuu wabongo siyo kwamba hawapendi movie za nje,wanapenda sana,sema haiwezi kufikia vijijini na mitaa flani,we unadhani kama action ya ukweli ikafanyika kama vile mamtoni halafu za kiswahi wataacha kununua?
 
Back
Top Bottom