Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Huu ni mkamera wakushoot uliotumika kwe APOCALYPTO na hawa wengine kila mtu anashughuli yake kuna watu wa mavazi, scines, camera, locations, hadi watu wa Quality Assurance walikuwepo....hii movie ilirecodiwa chini ya ICON so wengi hapa ni wafanyakazi wa studio
252755_10150905624842000_985729373_n.jpg
 
APOCALYPTO Behind the scine: Kuna bibi mmoja aliigiza mule hapa anakula maelekezo namna yakucheza part yake na anaetoa maelekezo ni MEL GIBSON Director wa movie ya Apocalyto!! kuna watu wanachukua notes hapo sio mambo yetu yale kila kitu mwenyewe
295316_10150905579097000_1266550150_n.jpg
 
hapa anatoa maelekezo kwa wale mateka huyu n mel gibson mwe kofia
482071_10150905570172000_247370351_n.jpg
 
Hii ni Camera iliyotumika kushoot movie ya APOCALYPTO inauwezo wakupiga picha hata chin ya maji na inatoa larycs au scipts an yale maneno yakuongea pia...behind the scene.
555722_10150905551597000_767445055_n.jpg






 
Je tutafika?angalia camera ya Ray na vifaa vyake halafu fananisha na wenzetu
 
Mel gibson yupo mbali sana hata movies zake nyingine kama passion of christ,lethal weapon ziko safi.wenzetu wapo mbali kuanzia story,script,screen play,directing,acting,custumes na vingine viingi.

Cha muhimu watanzania waliopo kwenye movie industry wasome ili wawe professional kuna wachache wanajitajitahidi kuipeleka next level mfano george tyson(director),bishop hiluka(script writer and editor) na mtu wa sauti young elie chansa.

Wanigeria wamekamata multichoice na dstv ukitazama m-net,big brother africa,na vipindi vingi utakuta jamaa wapo kwa wingi na wanajaza contents zao na kupromote 100% naija mfano ik presenter wa big brother africa (alichukua nafasi kutoka kwa msouth africa kabello na anaendelea kuvutia)mkurugenzi wa m-net africa mwanamama,jamaa wengi kwenye directing na professional consultancies katika m-net.
So watanzania tunaweza pia cha muhimu kuzidi kukazana.
 
Chezea $40 million budget...??? Hii sio Bongo Movie ...studio hadi rent yake Haizidi $20,000...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
tena kupitia simu,,,,,,,

Mimi naamini tutafika huko kote na tutafanya makubwa zaidi na watakao tufikisha huko sio Ray, JB, Wema, Wolper ama nyota mwingine yeyote yule aliyeko kwenye tasnia ya filamu Tanzania hv sasa, bali ni vijana wengine kabisa watakaoamua kuingia kwenye tasnia hiyo wakiwa na utayari ya kujifunza, kusoma vitabu mara kwa mara, kufanya kazi wakiwa na nia ya dhati kabisa kuteka na kujulikana kwenye soko la kimataifa nasio kuangalia tu soko la "Mbagala"!
 
APOCALYPTO Behind the scine: Kuna bibi mmoja aliigiza mule hapa anakula maelekezo namna yakucheza part yake na anaetoa maelekezo ni MEL GIBSON Director wa movie ya Apocalyto!! kuna watu wanachukua notes hapo sio mambo yetu yale kila kitu mwenyewe
295316_10150905579097000_1266550150_n.jpg
duh hii movie naipenda ingawa inahitaji moyo kuiangalia haswa jinsi wanavyouana..............ila waliniacha hoi pale yule mama alipojifungulia kwenye maji..........hivi inawezekana kweli?
 
Back
Top Bottom